Nilichojifunza kutoka kwa Baba yangu

Nilichojifunza kutoka kwa Baba yangu

Huyo mshua ananikumbusha washua wa enzi za Sheikh Shaaban Robert.

Ni kama character out of a Shaaban Robert book.

Wazee wa hivi wanaisha, wanabakia machepelee gubegube wenye visasi na matusi kutuongoza.

Nyerere alishawahi kupata mgogoro wa mpaka na Kamuzu Banda wa Malawi, Banda akataka kuchukua sehemu ya Tanzania. Nyerere akamwambia chukua Tanzania yote kabisa.
 
Back
Top Bottom