Nilichojifunza Kupitia mtandao huu pendwa wa JF

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Nov 14, 2022
1,759
2,795
Mtandao wetu huu umekuwa kiburudisho kwa members wote bila shaka!

Mimi binafsi kila ninapopata muda lazima nichungulie huku yaani ni "lazima"

Humu tumo na watu wa aina zote! Wenye kuburudisha, kuhabarisha, kufundisha/kuelimisha, kukosoa, kutia moyo, wa kukatisha tamaa, wa kuponda wengine nk. Sasa unakosaje maeneo haya

Kuna watu ambao nafurahi kuona michango yao ambao sitaki niwataje ili kuepusha.. ni watu ambao wanatumia busara za kipekee ktk michango yao

Tuachane na hayo, kupitia ninyi wanajf nimetatua baadhi ya changamoto ktk familia yangu, pia nimetumia baadhi ya mawazo ya yenu kutatua changamoto za kiuchumi

Hivyo jf naitumia kwa faida. Je wewe kuna kitu unaingiza/ umeingiza kichwani kupitia jf?
jf inakusaidia vipi!?
 
Mimi kinachoniuma ni zile mada zenye IQ supplement kupoteA kbsa.ndio mada zilizonivutia jf.siku hizi kuna majukwaa nikiingia nakutana ID zinazofanana na viungo vya siri vya mwanamke wanashusha sifa Tu.
 
Back
Top Bottom