Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,380
- 24,986
Tayari nilikuwa nimesha jiandaa kukuja PM ili nawewe ufunge safari from Bukoba yako to Dodoma...teh
Tayari nilikuwa nimesha jiandaa kukuja PM ili nawewe ufunge safari from Bukoba yako to Dodoma...teh
Hehehehendio mana nimesema kwako linanishinda jambo 1 tu (uwoya vs janjaro)
haya sasa uko mbali unantisha,nikiwa around si tayari naugulia maumivu?
Next week naanza Gym nijae jae kdg niweze kukumudu ili ukisema fyeeee (nakupa banzi hiloo)
Pole sana MamaLazima niduwae asee
Huko keshamaliza ndio maana kahamia kwa wasiojulikana wa jfJf tu tumepangwa kiasi hiki, huko mtaani vijana wanakoma hakyanani!!
Paul anko wangu anamakubwa sana,chotara la kikamba na kichaga levi kama limerogwa.linajua kila kitu,bishi kama dagaa za kigoma.Paul wa DSM unamaanisha RC? Yule sio Paul na hana hata damu ya Paul inayozunguka kwenye mishipa yake.
Msinitenge ni living proof.Hakuna utani mule.Usione soo - Ishi stars
Kosa la marehemu - Uswahilini matola
Kazeze - OCG
Marehemu ameacha orodha - Jebi
Funga zipu yako - Dogorii
Mshkaji mmoja hivi - Joseline
Starehe - Ferouz
Msinitenge - Profesa Jay
Mgeni - TOT Band
I dedicated these songs to Members wa JF wanao pyu pyu pya pya bila kutumia kondomu
Mm nna Kaka angu Anaitwa Paul hana hbr kusaidia home yy yupo bize na mke wake tuBinafsi yangu siwezi ita mwanangu paul.
Babu yangu mzaa mama kazaa watoto wawili,joyce na paul. Joyce ndiye mama yangu ambaye mama ake joyce ni mchaga,huyu paul ambaye ni mjomba wangu mama yake ni mkamba wa kenya.
Mambo yanayopita kwa paul na tabia aliyonayo havirandani na paul wa dsm,ila sijawai shawishika kuwa na paul kwenye damu yangu.
Mimi nimefupisha tu,bt wakina paul wanayao yasiyofanana na wengine.Mm nna Kaka angu Anaitwa Paul hana hbr kusaidia home yy yupo bize na mke wake tu
Hahaha, siku ile ilikuwa bahati mbaya, na nilivyorudi nazo hukuwepo tena hotelini hahahaIngawa uwiano wa maambukizi ya HIV inaonyesha wanawake ndio walioambukizwa zaidi kuliko wanaume, ila nimegundua wanaume wanacheza rafu sex sana.
Mwaka 2018 January nilkutana na mwanaume humu, tukakubaliana kuwa wapenzi, yeye akiishi Dodoma Mimi nikiwa Bukoba. Siku ya kwanza ku-sex naye, hakutaka kutumia kondom, nilimlazimisha atumie maana tulikuwa hatujapima, lakini aligomagoma mpaka tukaahirisha, ingawa alikuwa analalama usiku huo kumnyima, nikamwambia haina haja ya kulalama.
Asubuhi alienda kutafuta kondom akaja tukasex lakini katikati ya gemu nikashtukia anatoa kuwa inamchelewesha kumaliza, sikutaka kupinga ikabidi niache tu amalize.
Baada ya hapo niliumia sana kufanya mapenzi bila kondom na bila kujua hali ya mwenzangu.
Sikutaka kurudiana naye tena, hadi ikaisha miezi 3 nikaenda kupima nikajikuta nipo salama, nikampa sharti la yeye kuendelea na mimi ni kupima, akakataa mahusiano yakafa.
Mwaka 2019 Machi nilkutana na kaka mmoja humu wa Dar, akaniomba tuwe kwenye mahusiano, nikaenda Dar lakini cha ajabu tuli-sex bila kinga na hatukupima, nikamuachia Mungu, ila nikavunja mahusiano baada ya kugundua ana mahusiano na mwanamke mwingine wa humu tunayefahamiana.
Mwingine akaja PM nikamwelewa wa huko huko Dar, nikamfuata. Huyu tuliingia hotel, kisha chumbani. Nikauliza kama ana kondom akasema hana, nikamwambia inabidi tulale mzungu wa nne mpaka asubuhi tukapime, tukishajua hali zetu nipo radhi kukaa hapa hotelini wiki nzima.
Akakubali kesho yake tungepima, kumbe hiyo kesho akatoweka, hakutaka tuonane, nikarudi zangu mkoani.
Nilichojifunza wanaume wengi wa JF wame-risk maisha yao kuhusu HIV.
Nimewahi kumuuliza mwanaume mmoja humu wa JF kwa nini wanaume wengi mnakuwa na kondom mfukoni lakini inapofika kwenye sex hamtumii zile kondom?
Alichonijibu ni kuwa ni kweli Dada, kinachotokea ni kuwa unaweza ukawa na dhamira ya kutumia kondom lakini wakati mpo chumbani, uzuri wa kasura, umbile, chuchu na mapaja na hata huko nyuma pameumuka vizuri; ile dhamira ya kutumia kondom hutoweka, hujitoa kula nyama nyama kwa sababu hatafaidi uzuri alio uona.
Ndo maana siku hizi sitaki wanaume PM.
Wanaume wa JF take care, wengi muna shule kichwani lakini mnadharau sana matumizi ya kondom na kuchek afya zenu.
Hongera kwa kutoa jibu linaonesha busara na maadili ya mawasiliano.Kaka ukimwi haupo mitandaoni tu,hapo unapokaa kuna ukimwi pia,wanaume unaowaona mitandaoni ni hao hao unaokutana nao hapo mtaani kwako au barabarani au safarini
Na love doesnt consider distance,mtu anaweza akawa Tanzania akawa na mpenzi Japan
Na huu sio kwamba nilikuwa field nafanya utafiti,ni hali tu ilitokea ningekuwa field ningebainisha kati ya wangapi walitumia kondom na wangap hawakutumia
Kaka mmoja wa Insta
Duh!Mno yani, nilikuambia kesho unayomaanisha sio kesho niiijuayo mimi si unaona sasa?