Nilichogundua kwa wanawake

Nilichogundua kwa wanawake

Na kupata grease lazma utoe[emoji384][emoji384][emoji384][emoji389][emoji389][emoji389]
Hapo sasa ndo mana nikasema weka grisi vyuma vilainike vyenyewe sio mpaka MTU aanze. Anza wew kwanza ni strategy nzuri
 
Mi nnachojua mwanamke ndo anaanza kumpenda mwanaume, kisha mwanamke huanza kujishaua shaua hivi Mara apite arudi akae hivi akae vile basi hivyo vitimbi ndo ndoana yenyewe. Mwanaume lazima anase. ILA wale umemuona Leo kesho anaomba Mara vocha Mara nauli Mara kodi imeisha Jana, Mara bia , hapo ujuewanaume anakimbia bila kurudi nyuma. Mfanye mwanaume atoe mwenyewe bila kupenda. Semeni tuwafundishe unyago kama hamjapita.
 
Acheni ubaguzi wakise.....n....g..e.. Mwanamke ni mwanamke tu hata apitie kwenye hatua gani katika maisha bado atabaki kuwa na thamani mbele za Mungu na si mwanadamu.

Mwanamke hata ajiuze awe mwizi awe mbea lakini mwisho siku ataolewa na kuwa wife material mzuri tu.... [emoji16] [emoji51] [emoji119]
 
Una hoja nzuri ila umeiharibu kwa matusi lukuki
 
Eti hufurahii ujue kuna watu wanakera kila siku wanalalama juu ya wanawake bila sababu ya msingi kana kwamba wao wako " perfect " [emoji23]
Basi sawa ndo utofauti huo na suluhisho sio kutukana. Hapa tunapeana elim maoni nk ili maisha yaende. Wanaume wanajaribu kueleza yanayowapata kwenye mahusiano maana hata baba yetu Adam aliponzwa na mke wake. Hivyo ni either wanawake wengi wabadilike au mapenzi yazidi kudorora. Wanawake hawataki kujishusha kwa waume kwa sababu mbali mbali maana na wao wanakoroma. Zizi lazima libane hapo
 
Back
Top Bottom