Nilichogundua kuhusu Arusha

Hatuwezi kuzungumzia plan za 2013 mwaka huu hivi unachukuaje statistics za sensa ya 2002 na kuacha ya 2012 em kuwa msomi kidogo aise.

Mwanza

Madiwani wapitisha bajeti
Baraza la madiwani la Halmashauri ya jiji la
MWANZA limepitisha makadirio ya mapato
na matumizi ya shilingi Bilioni 87 katika
mwaka wa fedha wa 2016/2017
Madiwani wapitisha bajeti - TBC.go.tz


Arusha

bajeti ya mapato na matumizi kwa mwaka
wa fedha 2016/2017 ya Halimasahauri ya
jiji la Arusha hatimaye jambo hilo
limewekwa hadharani ambapo kiasi cha
shilingi bilioni 109 zimepitishwa na baraza
la madiwani kwa ajili ya kuanza kutekeleza
mipango ya kimaendeleo.
CHAGUO LA MSOMI | UNLIMITED NEWS

Hizi ndio current situations.
 
Yaani mantiki ipo rahisi tuseme TRA wanakusanya kila mwezi Trilioni 1 inamaana kwa Mwaka watakusanya Trilioni 12...

sasa mtu anashindwa kujiuliza iweje kwa Mwanza na Geita yaani mikoa miwili wapate hiyo Trilioni 8...
 
msimu wa 2012/2013 makusanyo kulingana Na vyanzo via halmashauri Ni kama ifuatavyo
viwango Katika mamilioni tshs.

mwanza city council 7,053.7
mbeya municipal 5,206.4
arusha municipal 4,313.2

hiyo ni kutoka website ya tamisemi
Hizo ni targets sio report kuwa makini.
 
Okay, wasije kuwa na deficit tu...

Hizo ni halmashauri mbili, moja inaongozwa na ccm na nyingine chadema...

Arusha madiwani wa chadema wamejaa, Mwanza ni ccm wamejaa...

Kama budget hiyo ndio imepitishwa unaweza ukakuta Arusha City Council wamepewa target ya kukusanya kiasi kikubwa zaidi...
 
Yaani mantiki ipo rahisi tuseme TRA wanakusanya kila mwezi Trilioni 1 inamaana kwa Mwaka watakusanya Trilioni 12...

sasa mtu anashindwa kujiuliza iweje kwa Mwanza na Geita yaani mikoa miwili wapate hiyo Trilioni 8...
hayo ni mapato ya mwaka regional Revenue Wewe kilaza hata kusoma hujui na link nimeweka bure kabisa wewe wala sitareply tena message zako naona ni kujipotezea tu muda.
 
Mitaa mingi ya Arusha ni mizuri sana...ila kuna hii ya huku Daraja mbili na Ngalimi..mmm...hadi vinyumba vya matope vipo
kwan tz ni america kila maahali kuna najumba ya kifahar mbona jiji kubwa tanzania kuna vijumba vya udongo vilivyopakwa choka
 
hakuwa na pesa huyo ndo maan akaishia kuchunguza jiji letu
 
hayo ni mapato ya mwaka regional Revenue Wewe ****** hata kusoma hujui na link nimeweka bure kabisa wewe wala sitareply tena message zako naona ni kujipotezea tu muda.
Kwa mwezi TRA wanakusanya Trilioni 1 kwa mwaka watakusanya Trilioni 12 yaani miezi 12... hapo ni Tanzania kwa mwaka mikoa yote

sasa iweje kwa mwaka mikoa miwili yaani Mwanza na Geita itoe Trilioni 8...?!

Nakushauri uendelee ku post picha tu za majengo na kusifia watu, mambo ya kitaalamu tuachie sie, umechukua uamuzi mzuri kuacha ku reply quote zangu maana zinakuzidi kimo, ni vema kutekeleza uamuzi wako ulioamua...
 
Mkuu ni mapopoma kabisa hata secondary hawajafika kama Kuna box moja linasema bajeti ya Tanzania ni trillion 12 wakati juzi wamepitisha makadirio ya Trilioni 29.5 hawajui hata zipo report za budget ya mkoa binafsi kwa Mwaka annum regional Revenue collection.

Alafu huyo ndio think tank wa mkoa
 
Arusha ilikuwa ni sehemu ya mashamba mji ulipamgwa Mbulu ndio maana Arusha imezunguukwa na mashamba ya Kahawa na sehemu nyingi za Arusha hazijapimwa kwa mfano kisongo,kambi ya fisi,kwa mromboo,kwa Iddi,Mbauda,Uswailini,Ngaranaro,Daraja mbili,Sombetini,Kijenge,Mbauda,Mwanama,Mianzini,Ungalimitedi,Azimio,kwa mrefuu,Sanawari na sehemu zote hizo nilizozitzija ndizo zinazofanya Jiji la Arusha kwa kifupi Arusha ni shiiida
 
Who are u mpaka kutousikia kwako kudhibitishe udogo wa uwanja..for your info ni uwanja mkubwa ila hutumika sana na TMA for military training,pamoja na hayo kuna civil avation pia

Hata ndege kubwa ya Ethiopian Airlines aina ya Boeing 787 ilitua kwa makosa lakini iliweza kuondoka bila tatizo.
 
Huwezi kusema tumeaminishwa ile ni report ambayo imepitia process za kisayansi sio siasa.

Hata UNPD imefanya utafiti huo na matokeo ya katoka hayohayo.
Kwa hiyo unakubali mwwanza ni moja wapo ya mikoa maskini Tanzania . Kama ndio unapingana na kauli zako za kuitetea, kama Wilaya na manispaa zingekuwa zinafanya vizuri matokeo yake yangeriflect jiji lenu unalolitetea.
 
We ni pimbi nin...fala kabisa, sliyeleta mabishano ya mapato ni nan....usilete ushoga hapa mbwa wewe
 
We ni pimbi nin...fala kabisa, sliyeleta mabishano ya mapato ni nan....usilete ushoga hapa mbwa wewe
Ukisika paa!!! Mbona povu...Daah

Vipi we mwana Mwanza uombe data kwa mtu wa Arusha..? Sijaona cha maana zaidi ya kubisha bila fact na kujaza sever za JF..
FisadiKuu na chongchung kuendelea kujadiliana na wewe kichwa tupu ni kuwashushia hadhi zao...Wewe saizi yako ni kule Celebrity Forum na Udaku...
Unatia huruma....Daah
 
Unganisha na ilemela mana pia ipo kwenye mipaka ya jiji la Mwanza....kama we kidume leta mapato ya wilaya ya arusha....mkoa wa arusha una resources nyingi ndo mana kimapato inazidi mkoa Wa mwanza........mapato ya wilaya mbili za ilemela na nyamagana hayawezi zidiwa na wilaya ya arusha hata kama kuna tofauti bas ni ndogo sana..mbna nyie mmeleta data za city council za mwaka 2013, pia unaposema TRA wameshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato unajua ni changamoto gan zimesababisha ni mapato hakuna au ni changamoto za ukusanyaji? Unajua miji inayoongoza kwa kukwepa kodi? Acha uduwanzi
 
Haujielewi....I cnt wast my time discussing with ds fcked nonsense
 
Kwani hapa Tanganyika kuna stendi gani angalau iko standard zaid ya msamvu Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…