Nilichogundua kuhusu Arusha

umesahau
Waturutumbi
Vatoloco
Arusha na Mbeya maJiJi bora kabisa Tanzania
 
labda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
 
Mtu anayekuja Arusha anasema Arusha si pazuri anashida zake tu, hajiu lolote kuhusu A City. Umekuja Arusha kufanya nini? Unachapaa kwenda sehemu nzuri? Kumbuka mgeni yeyote mtalii anaweza zunguka Tz lakini akifika Arusha anajua amefika sehemu ya kipekee Tz. Kuanzia hotels, hali ya hewa, watu wake and everything.

Tatizo watanzania wengi wanaotoka mikoa isiyo ya kitalii ni "washamba" na hawajui lolote kuhusu lifestyle ya Arusha na uzuri wake. Hii ndio sababu kuu. Watu wa Arusha ni kama Nairobi....no nonsense type.

Arusha all day everyday
 
labda arusha ni pabaya sana ila hata paikiwa puzuri kuna maghorofa na kila kitu wewe itakusaidia nn? Hiyo mikoa mizuri mizuri inakusaidia nn kwenye maisha yako? Maghorofa na hoteli na kila kitu vina wenyewe tafuta vyako ufanye kwako pawe pazuri.
Akili ndogo
 
Yaani umeishia kwenda stend tu unadai unaijua arusha ya kishamba tafuta mtu mwnyj akuonyeshe arusha ilivyo kisha uje ulete marejsh hapa...kuhusu Stend ya mabasi ilitengewa eneo kubwa na ni mda mrefu sana maeneo ya morombo ila ndo hvy mpk leo hakijA endelezwa bado..Na hyo ya daladala mitaa ya kirombero ilianza hivi karbuni tu hvyo siku sio nyingi nacho kitaendelezwa na kuwekwa vzr.Ila nikwambie tu kuna vitu vinazidi kuboreshwa ili kuliongezea jiji la arusha hadhi mara mbili zaidi
 
Mkuu vipi pale mrina hujafika nini??
 
Nadhani mtoa Uzi ni mtu wa public transport sana ndio maana kaanza na bus stand... that is good observation
Ila ungezungumzia nayaliokuvutia sio umeishia kuponda tu
 
Nyumbani one hiyooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…