elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Uwanja upo hata ethiopian airline ilitua kwa dharura.huwezi kujenga kiwanja kikubwa kuliko hichi kilichopo hakuna tambarare hiyoCha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Uwanja wa KIA ulijengwa mahsus kwa ajili ya utalii wa Moshi na Arusha.. so kiwanja kipo.. kile cha pale kisongo ni cha ndege ndogo..Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Uwanja upo hata ethiopian airline ilitua kwa dharura.huwezi kujenga kiwanja kikubwa kuliko hichi kilichopo hakuna tambarare hiyo
Mkuu hilo najua ndio mana nkamwambia arusha huwezi kujenga uwanja mkubwa mana tambarare ni sehemu ndogo sanaile ilitua kwa dharura, ndo maana wale abiria walipelekwa kia wakapewa ndege nyingne. ndege ilipaa ikiwa tupu. uwanja uliopo ni mdogo., uzuri wake Arusha na Kia co mbali!??
Njoo tukuzungushe jijini.jiji halichunguliwi ukiwa ndani ya Lori la mkaa !!Haina stendi ya maana si ya daladala wala mabasi, maendeleo kama yanaenda kwa kusua sua, boda boda mmoja kaniambia angeendelea mkwere wangekua mbali, ila mwenyeji mmoja kaniambia atanionyesha sehemu kadhaa zitakazonifanya niamini kwamba Moshi kwa Arusha si chochote, Japo upande wa population naona wapo vizuri, kama upo Arusha niambie ni wapi nikienda nitapiga salute na kuacha kufananisha huu mji na sehemu za kawaida, asanteni
Kisongo ni uwanja wa mpira?Cha kushangaza zaidi ni hakuna uwanja wa ndege
Ni WA kucheza mdundiko labda !Kisongo ni uwanja wa mpira?
Huo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.Kisongo ni uwanja wa mpira?
Who are u mpaka kutousikia kwako kudhibitishe udogo wa uwanja..for your info ni uwanja mkubwa ila hutumika sana na TMA for military training,pamoja na hayo kuna civil avation piaHuo uwanja ndio nausikia leo, bila shaka utakuwa mdogo sana........ Shukuruni KIA upo jirani ndio unaokoa jahazi.