Mwanabalagha
Senior Member
- Nov 11, 2015
- 196
- 235
Binti hana shida kusema ukweli namuona katulia, labda kama anaficha makucha. ila nimejaribu kumuulizia akasema haiko hivyo. Ukizingatia ye mwenyewe kalelewa na baba, mama aliondoka akiwa bado yupo shule ya msingi hivyo baba yake akaoa mke mwingine kutoka Tanga hivyo amelelewa sana na mama huyu wa kitanga.Raha ya kuolea upendwe na wana ukoo! Sasa ukimuoa na wazazi wakajitenga nae itakuwaje? Je bint anasemaje?
Amelelewa na baba, wazazi wake walitengana akiwa shule ya msingi. Mama akaondoka yeye akabaki na baba mpaka hii leo.Umuulize yeye (mchumba wako) alilelewa na nani.??
Kazi gani tena Evelyn Salt!!! hebu mwaga maeksipiriens basi kama ni kweli.Kazi ipo.....
Heeeeee wana ukoo tena hii mupyaRaha ya kuolea upendwe na wana ukoo! Sasa ukimuoa na wazazi wakajitenga nae itakuwaje? Je bint anasemaje?
Daah!! we acha tu mkuu.....wanasema japo kachanganya kabila ila bado hawana imani nae.Ni vema kupokea ushauri haswa kutoka kwa wakubwa zako ila si kila ushauri unapaswa kuufanyia kazi kama ulivyo....Vema wakati unaangalia kupata historia kutoka kwa watu baki huku ambapo kila mtu atakuja na lake kama mimi nilivyokuja na langu ni vema ukamuuliza na mke wako ukasikia kutoka kwake na sababu mchumba wako baba yake ni Mnyiramba yeye hatokuwa Mmakonde atakuwa ni Mnyiramba na kama shangazi hana shida na mila za kKinyeremba vuta mchumba kwa raha zako..
Asante sana mkuu...nimekupata vilivyonikweli kabila za kusini mtwara
mwanammke ndo mwenye watoto.. pia mume akienda kuoa mahala anahamia huko
yani dizaini kama anaolewa.
hio ni asili yao haiwezi kupotea.
japo kwa sasa imepungua hasa kwa tunaokaa mijini (wamakonde,wamakua,wayao,wamwera)
kwa mfano mimi mama angu mmakua baba mtu wa musoma
sisi ni watoto wa baba
japo tunaishi mjini na tumelelewa mazingira ya kimakua sana ...
kama vile tumechezwa, tuna ukaribu sna na ndugu wa mama kuliko baba..
ila mwisho wa siku ni makubaliano yako na huyo dada..
kuhusu kuchukua watt kulelewa na bibi zao wamakonde wanapenda sana watto
kwahiyo ukionyesha huna mapenzi wanamchukua mtoto wanakaa nae...
.... siku hizi mambo yamebadilika sana, muingiliano wa makabila umesababisha kubadilisha mambo mengi, wengi tunazaliwa kimjini tunakua kimjini mjini hizo asili na mambo za makabila hatuzijui tena wamebaki wachache sana wanaofata hayo mambo tena utakuta ni watu wazima kina shangazi, mchumba wako nae usikute hata hajui hizo mambo sasa atakujaje kumiliki watoto wakati hajui kama iko hivi? Muangalie yeye kama yeye ana sifa za mke unaemuhitaji? Unaweza kuishi nae hii yatoshaKazi gani tena Evelyn Salt!!! hebu mwaga maeksipiriens basi kama ni kweli.
Hio mambo ya sijui kabila flan flan imeshapitwa na wakati. Uongo?.... siku hizi mambo yamebadilika sana, muingiliano wa makabila umesababisha kubadilisha mambo mengi, wengi tunazaliwa kimjini tunakua kimjini mjini hizo asili na mambo za makabila hatuzijui tena wamebaki wachache sana wanaofata hayo mambo tena utakuta ni watu wazima kina shangazi, mchumba wako nae usikute hata hajui hizo mambo sasa atakujaje kumiliki watoto wakati hajui kama iko hivi? Muangalie yeye kama yeye ana sifa za mke unaemuhitaji? Unaweza kuishi nae hii yatosha
Habari za kusema watu wasingida sijui wapo vipi, i wanaocheat ndoa zao wote ni wa singida??? Wamakonde wengi tu tunawafahamu mbona hawana hizo
Ushauri wa ndugu zingatia ila pia wewe kama wewe fanya maamuzi
Ipo kidogo imebaki dhana tu ila ukiangalia watu sio kiivoHio mambo ya sijui kabila flan flan imeshapitwa na wakati. Uongo?