Nilichanganya mafaili,

Nilichanganya mafaili,

Shida yko ulitaka kuweka window 7 Ultimate na Premium at the same time wenzio tunapandishia na window 8 au 10, Format anza upya
 
Mi mpaka sasa napiga dada na ndugu yake wa baba kwa mama na wanaishi nyumba moja, na wote wanajuana ila namna ya kuniacha hawana wote nmewatoa bikra, na wanaazimana cheni ya kiuno mmoja ninapomuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
ktk story yako me nahisi kuna baadh ya nyama nyama hujajazia, embu fafanua zaid ili uhondo uwe mahala pake.. hapo kwenye kuazima cheni fafanua zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka iliyopita Niliwahi kuwa na uhusiano na bint aliyekuwa Mwanafunzi wa chuo Fulani ,Kisha uhusiano ukavunjika kutokana na yeye kuleta usaliti na kuanza uhusiano na mwanaume mwingine, Mimi nikamformat nikaendelea zangu na Harakati zangu.
Baada ya Kama Mwezi mmoja akanitafuta na kuomba turudi katika uhusiano ikiwemo kuniomba msamaha, Mimi nikamkubali uhusiano ukaanza upya tena ukanoga na kuanzisha malengo ya ndoa.
Sasa, Siku Moja akamuweka bint katika status yake ndugu yake ambaye hata kabla ya kumfaham yeye huyo bint tuliosoma naye na nilikuwa nikimfukizia sana,nilipo muona nikatafuta mbinu nimnase nikafanikiwa kupata mawasiliono yake, nikaanza kumfukizia tena, kilichotokea alirespond vizuri ila mwishoe akapanic alipo jua Tayari na uhusiano na ndugu yake (binamu yake) na kuahidi atamwambia na uhusiano lazima ufe, so akamwambia, jitihada za kumpoza zikagonga Mwamba, akakataa kabisa nikakosa pote, baya zaidi wa zamani bado namkubali, na faili nimeshachanganya??

Jf nimekuwa msomaji wa muda, ila kuna wadau watakao nisaidia kuyapanga mafaili ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi huyo mpenzi wako hakuwa anakupenda na angekusaliti tena baada ya kupata mtu sahihi kwake. Anayekupenda kwa dhati hata uwe na makosa mengi ya kukuacha atatafuta sababu moja ya kuwa na wewe hasa wanawake.
usipoteze muda kupanga mafile yenye virus chapa upya.
 
Kazi ni Kazi ya freestyle ilimradi tu inalipa...

Ukiifanya kiuhakika...

Naamini mambo yatajipa...

Kama kwa kitu watu wanakipa...

KIMENTALI au KISOMI, iwe kwa BODA au kwa PIPA...

Utanisamehe Brother Chuwa

Sikuja kukusabahi ulipokuwa unagua
 
Utanisamehe Brother Chuwa

Sikuja kukusabahi ulipokuwa unagua
Sikuwa na Muda wa kuweza kuja...

Sio kama sikujali niko busy naenda resi...

Nafanya DILI isio kafiri...

Muda utakapojiri tutaonana JUMAPILI...

Kwenyewe MSELA nataka PAPER...

Ni pekee inayofanya Mie nipate ninachotaka...

Umenipata Brother KAKA?...

Ofisini hatuajiriwi ndio sababu sasa nasafa...

Kwenye MZIKI Cash napata...
 
Sikuwa na Muda wa kuweza kuja...

Sio kama sikujali niko busy naenda resi...

Nafanya DILI isio kafiri...

Muda utakapojiri tutaonana JUMAPILI...

Kwenyewe MSELA nataka PAPER...

Ni pekee inayofanya Mie nipate ninachotaka...

Umenipata Brother KAKA?...

Ofisini hatuajiriwi ndio sababu sasa nasafa...

Kwenye MZIKI Cash napata...

Thanks, this was one of my fav 2003/4. Kulikuwa na kanda amecompile DJ JD!
 
Back
Top Bottom