Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,718
- 11,333
Dah hii kitu noma yanatukuta wengi hayo.Nimeoa mke nakaa mbali naona yeye Bado anadumisha Mila Na jamaa zake wa zamaniHabari zenu wana jf
Daah watu walisema mapenzi ya mbali hayadumu ni kweli bana Leo ndo nimeamini daaah
Nilikua mbishi walivyokua wananiambia hvoo ila now nimeamini
Mapenzi ya mbali hayadumu usidanganyikee.