Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

Tatzo mnajifanyaga mmesahau maumivu na kumove on.et hukumbuki hata ubaya mtu aliokufanyia.hyo ni kujidanganya ili uonekane mwamba wakat kimoyo moyo watu wanaumia .ni kujikaza tu.so mim nmesema ukwel..bado inaniuma na ndo kama hvyo namkomesha
Yah huu ndio ukomavu kisiasa😂
 
Hiyo Vita Ni Vita mulaaa.....niyauko kwenu sigimbi!Kanda maalumu tuna Vhita Ni vhitaa muraaaaa.....we mrishaaa
Hahaha hyo ni ya ki daslam zaid.....L=R
 
Back
Top Bottom