Chally ya R
Member
- Dec 8, 2020
- 62
- 50
Una podoa mwamba
Nyie ndo mnahongaga wanaume nyieUyo dada na yeye sijui ni shida ndo zimemzidi Sana mpaka anashindwa kutumia akili au ni Nini mi nkikuomba hela Mara moja ukiniambia utanipa siku flani ata iyo siku ikifika sikukumbushi na assume Kama usingekuwepo ningefanyaje Mimi huwezi kunichezea huu mchezo nna jeuri
Ukizembea wapi mpaka ukapigwa kibuti unatakiwa kuwa mjanja na kumsoma mpenz wako kabla haja fika atua ya kukutema umteme weweHyo fanya wewe kaka.yeye alivyonipiga kibuti ilikua sawa eeeh..
Wenye 'ego' hawajisemagi sema wee ni kajamba nani mchangamfu tuMim nna Ego ya hal ya juu.huwa sirudiag demu hata ajilete vp...naweza hata ingia nae room na nisimfanye chochote.mi jeur mkuu ohooo....
Halaf nikwambie kitu..kumsahau mtu mliekua pa1 mnashare kila kitu had mswak ni kujidanganya..so ni kwel namkumbuka nayeye ananikumbuka vile vile
Mbona kama unaumia bado? Mpaka unatuma mapicha mwans unakisasi bado moyoni na unampenda, mpaka unamzungusha bado unampenda.Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.
Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer
Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.
Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.
Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...
Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali
Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo
Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.
Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..
Uzi tayar...(usinijudge)
Si mnataka watu dizaini hii jamani.Kwaiyo unahisi success unapata Wewe ..TU hao maX hawapati
Unamentality ya kitoto sana
Wew siwez kukufanyia hvyo mdau..sabab najua wew ni dhahab...

...Mkuuu unaangaikaga Nini na Max ndungu yangu?..... Endeleeni na maishaHapana...Mimi sitaki kujua maisha yako...Wewe fanikiwa teseka . Lia..furahuaSi mnataka watu dizaini hii jamani.
Basi rudi nimenunua washing machine beibe na vyombo nitakuwa naosha mwenyeweHapana...Mimi sitaki kujua maisha yako...Wewe fanikiwa teseka . Lia..furahua
Mimi hayanihusu

Basi rudi nimenunua washing machine beibe na vyombo nitakuwa naosha mwenyewe![]()

....Mkuuu umenifurahisha Sana..maana nlikua nimenuna hapaUtoto! Pole!Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.
Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer
Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.
Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.
Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...
Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali
Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo
Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.
Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..
Uzi tayar...(usinijudge)
....Mkuuu umenifurahisha Sana..maana nlikua nimenuna hapa

ukuje sasa hivi kazi yako ni moja tuuKama hauna issue naye ni bora ungemtolea nje tu kwa kumwambia ukweli maana usikute hawa mademu wanaomba mkopo, unawapa kumbe anakwenda kumtunza mwanamme mwingine hapa mjini huku akikucheka kuwa wewe ni fala tu.Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.
Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer
Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.
Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.
Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...
Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali
Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo
Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.
Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..
Uzi tayar...(usinijudge)
Hapanaaa sio hiyo bwana uje tukae uchiKufua kwa washing machine..![]()