Niliahidi kumkopesha Ex, sijampa/sitompa namtesa tu

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,086
Reaction score
16,060
Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.

Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer

Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.

Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.

Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...

Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali

Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo

Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.

Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..

Uzi tayar...(usinijudge)
 
Humu post kila mtu ana hela

Kila mlalamikaji ni mwema

Kila mtoa post haumiagi akiachwa

Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu

Yaani

Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.

Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?

By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.

Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi km waimba taarabu
 
Kuna kanuni unaikosea ambayo ni kama mtu amekuomba hela na unayo na ukimpa si tatizo kwako mpe. Na kama huna mwambie sina akatafute pengine.

Kuna nguvu sana kwenye kutoa (kusaidia) ambayo MUNGU ameficha huko, ndio maana watoa misaada kamwe hawafilisiki.

Siongelei kuhonga naongelea msaada wa kumkwamua mtu mwenye tatizo
 
Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi ya kujisafisha
kaazi kweli kweli
 
Na kila anayepata demu basi ni mkali kshenzi ana chura balaa...

Humu post kila mtu ana hela

Kila mlalamikaji ni mwema

Kila mtoa post haumiagi akiachwa

Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu

Yaani

Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.

Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?

By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.

Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi km waimba taarabu
 
Humu post kila mtu ana hela

Kila mlalamikaji ni mwema

Kila mtoa post haumiagi akiachwa

Kila mtu alifatwa baadae na kulambwa miguu

Yaani

Mwisho tu kila mtu anaonekana kainjoi kumkomesha mwenzake.

Alowaambia nyie watoto wa mkwere kuwa mapenzi ni ubabe Nani?

By the way tu huna hata mia unajimwambafy et in a sec nampa.

Toa uoneshe uanaume wako sio maneno mengi km waimba taarabu
Hata kama sina kweli.simpi helaa..utajua ujui
 
Kuna kanuni unaikosea ambayo ni kama mtu amekuomba hela na unayo na ukimpa si tatizo kwako mpe. Na kama huna mwambie sina akatafute pengine.

Kuna nguvu sana kwenye kutoa (kusaidia) ambayo MUNGU ameficha huko, ndio maana watoa misaada kamwe hawafilisiki.

Siongelei kuhonga naongelea msaada wa kumkwamua mtu mwenye tatizo
Hyo fanya wewe kaka.yeye alivyonipiga kibuti ilikua sawa eeeh..
 
Pole hujamove on bado"ukiachwa achika" kwa maelezo yako unaonekana unampenda but ndo ashakuacha na kama unadhani unalipa kikasi unajiumiza roho yako tu
Potelea mbali
 
Kuna huyu binti tulidumu kwa kama miaka mi3 hiv baada ya kumaliza chuo aliniachaga sababu nilikua sina hili wala lile.

Mimi nikiachana na mtu huwa siachani kwa shari hata kama yeye ndo kanikosea...huwa najaribu kum-keep closer

Tuliachana miaka kama 6 hivi imepita ila huwa tunachat, yeye ndo msumbufu kwenye events zake muhimu lazima anialike na huwa siendi. Na mimi nilivyo kauzu namtumiaga hadi picha za mademu zangu ambao ni wakali kuliko yeye mara7..yeye hajawai ongelea rlshnp status yake hata siku 1.

Sasa aliniomba pesa kama mkopo toka mwaka jana mwishoni wala sio hela nyingi.

Sasa mimi ni kwamba nilimuahidi nitampa na asitie shaka..huku rohoni nasema...@+-#$_?$...wewe nani akupe hela...basi kila akinichek nampa sababu huu ni mwezi wa pili toka aombe hela na anajua uwezo huo wa kumpa ninao in a sec...

Keshaongea saaana sjui ana matatzo anauguliwa na ndugu yake sijui nani huko...mimi sijali

Msimamo wangu ni kumzungusha wee ategemee nitampa ila simpi ng'oo

Vita ni vita mulaa...mi huwa kisasi changu hakiishi...ma x wangu wote wanakoma na mimi.

Strategy ni ile ile. Keeping them closer.
..let them witness nigga's succes..

Uzi tayar...(usinijudge)
Kama una madem wakali na bado unamuongelea X ni kwamba bado unampenda, usitese nafsi yako Mkuu. RUDI nyumbani kumenoga
 
Kama umewahi mpenda mtu kweli kweli no matter what hutokaa umlipize kisasi.
Hakuna mwenye haki ya kisasi. Tunatendwa sana lkn hatujawahi wawekea visasi tuliowapenda. Unawezaje jisikia amani uliyekiri kwamba ulimpenda akiteseka? Kama hauko tayari kumsaidia mwambie tu sina. Hiyo unajiumiza mwenyewe pia. Hakuna binadamu mkamilifu. Sijawahi furahia asilani ex wangu alipoanguka.

UJUMBE:
Usipande miiba kwenye njia ya kwenda kwako. Iko siku utashindwa kurudi ndani kwako. Maisha hubadilika dk sifuri.
 
Wewe ni mm kbsa mkuu kisasi changu kwa x wangu hakiishi Nna kesi kama hiyo yako namzungusha kila day ili nimkomeshe ajue na yy dunia duara aliniacha kwa dharau sana sa hv mungu anamuonesha na yeye😂😂😂😂
 
Utoto
 
Maskini wa hela tajiri wa maneno
Nasemaje pesa hapat....halaf mtu had akukope ni lazima anajua unayo na unaimudu..sasa kunambia sina hela napata shida kdogo...
 
Back
Top Bottom