K kagaruki2 Member Joined Feb 2, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Apr 1, 2014 #1 Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa serikali. Hivi huwa ni njia gani zinafuatagwa??????
Mwaka 2012 nilipata post ya ualimu mkoani kagera. Lakini sikwenda kuripoti kutokana na mkataba niliokuwa nao kwenye kampuni nyingine binafsi. Nimemaliza mkataba na nahitaji kurudi tena kwa serikali. Hivi huwa ni njia gani zinafuatagwa??????
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Apr 1, 2014 #2 peleka maombi pale tamisemi /utumishi kama upo Dar au nenda Tamisemi Dodoma.... Haijalishi ulienda au hukwenda watakupangia.
peleka maombi pale tamisemi /utumishi kama upo Dar au nenda Tamisemi Dodoma.... Haijalishi ulienda au hukwenda watakupangia.
G gogologomonagongio Senior Member Joined Jan 11, 2014 Posts 120 Reaction score 50 Apr 1, 2014 #3 Safety last said: peleka maombi pale tamisemi /utumishi kama upo Dar au nenda Tamisemi Dodoma.... Haijalishi ulienda au hukwenda watakupangia. Click to expand... Maombi mengine apeleke wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi dar
Safety last said: peleka maombi pale tamisemi /utumishi kama upo Dar au nenda Tamisemi Dodoma.... Haijalishi ulienda au hukwenda watakupangia. Click to expand... Maombi mengine apeleke wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi dar
K kagaruki2 Member Joined Feb 2, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Apr 1, 2014 Thread starter #4 Sasa nadhani ni utendaji ndo unafuata.... On the way
Y YOHANES MSIGWA . NJB Member Joined Mar 25, 2012 Posts 8 Reaction score 3 Apr 1, 2014 #5 Ila kama ulikuwa na check no, na nbado haijafutwa, hutapata mshahara kamwe....
K kagaruki2 Member Joined Feb 2, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Apr 1, 2014 Thread starter #6 Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika.
Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika.
Sisera JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 224 Reaction score 99 Apr 2, 2014 #7 kagaruki2 said: Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika. Click to expand... Afadhali kama hukuwa na cheki namba. Maana ungeishia kuwa kibarua tu. Nenda tamisemi utapata fasta ila usilalamike ukifika huko watakapokupangia.
kagaruki2 said: Nilikuwa sina. Yaani sikufanya lolote kuhusu hiyo post kwani nilikuwa nimebanwa sana na mkataba. Vyeti na nyaraka nyingine zilikuwa kwa shirika. Click to expand... Afadhali kama hukuwa na cheki namba. Maana ungeishia kuwa kibarua tu. Nenda tamisemi utapata fasta ila usilalamike ukifika huko watakapokupangia.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,422 Reaction score 21,124 Apr 2, 2014 #8 We kauze maembe bana
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,933 Reaction score 11,864 Apr 2, 2014 #9 YOHANES MSIGWA . NJB said: Ila kama ulikuwa na check no, na nbado haijafutwa, hutapata mshahara kamwe.... Click to expand... check no inafutwa kwa muda gani baada ya mtu kuacha kazi.
YOHANES MSIGWA . NJB said: Ila kama ulikuwa na check no, na nbado haijafutwa, hutapata mshahara kamwe.... Click to expand... check no inafutwa kwa muda gani baada ya mtu kuacha kazi.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,933 Reaction score 11,864 Apr 2, 2014 #10 YOHANES MSIGWA . NJB said: Ila kama ulikuwa na check no, na nbado haijafutwa, hutapata mshahara kamwe.... Click to expand... check no inafutwa kwa muda gani baada ya mtu kuacha kazi?
YOHANES MSIGWA . NJB said: Ila kama ulikuwa na check no, na nbado haijafutwa, hutapata mshahara kamwe.... Click to expand... check no inafutwa kwa muda gani baada ya mtu kuacha kazi?
M mwalimu wenu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 203 Reaction score 19 Apr 2, 2014 #11 Masomo gani ndugu yangu,kama ni science fasta utapata.