How sweet
Ingekuwa vizuri kama tungeona
Machozi hapa juu....lol
How sweet
Ingekuwa vizuri kama tungeona
Machozi hapa juu....lol
Yaani mpaka uone chozi ndio ujue mtu anapenda? kumbe unadanganyika kiihivyo enh lol
nilham siku za nyuma hapa ulikua hupatikani hapa jamvini,mimi nakuzimia katika post zako na michango yako pia,ila ulipotea kulikoni yaaah habibt???Oooopppsss!!!!!!!!!:scared::A S 39:😛ray:😛ray2::hail::sad::horn::rolleyez:😛hoto::director:
nimeona raha kukuona mi sijui ya kumjibu hash hebu nijuze ..nisije na mie nikarudisha mistari niliopigwa hehehe lol..
Hahaha lol
Ohh dear
Nipe masaa mawili
nikitoka hapa nta kwa mbia
Kwanini machozi ni muhimu dear..
nilham siku za nyuma hapa ulikua hupatikani hapa jamvini,mimi nakuzimia katika post zako na michango yako pia,ila ulipotea kulikoni yaaah habibt???
Usijali mpenzi
mwache alie kwanza
Weye usiumize kichwa sana dear
Mie niko njiani mpendwa..
Si wakumbuka hii sio mara ya kwanza lol
Ngoja Michelle aione hii si mmepatanishwa na Lizzy juzi tu ?
mwera mie mbona nipo my dear ni ilikuwa kuna tafrija za hapa na pale lakinni alhamdulillah....how are u ??
Mpe habari kuwa umefichwa
Muumize moyo na kimuume kichwa
Mjuze upo bize na bwana kumliwaza
Hupati hata wasaa habari kutujuza
Hivi sasa ametoka ameenda kwenye baraza
Atakaporudi nyumbani..............................
Ngoja nikanywe chai naona kichwa kizito sasa
my friend hashycool...
I can see why you are touched my friend....., i wish you the best of luck..., remember never give up..., good things come to those who wait...,
but from what i can see up there..., the competition might be stiff, lakini uzuri she is the only one who can choose, and with those rhymes am sure you will come up on top