Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Mwalimu nakusalimu kwa majina yote matatu!Duh Asprin comment yako kwa mwanzo kwenye thread hii hata kui-quote nimeshindwa, nimeogopa nimeona itanitoa udhu!!! hahahah
Ameen
Mwalimu nakusalimu kwa majina yote matatu!Duh Asprin comment yako kwa mwanzo kwenye thread hii hata kui-quote nimeshindwa, nimeogopa nimeona itanitoa udhu!!! hahahah
Bossi Kubwa katangaza kuwa mambo yote kesho. Sasa kazi kwako
Acha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? LolAsante Kimey, nami nakuitikia.
Hivi Avatar naona zimezuwa-baa humu ndani.....lakini wakikuwa wataacha au vipi
Aisee afazali...hivi kule si hakuna avatar? Manake isijekuwa tabu tena.
Mwalimu nimekosa vipindi vyako sana....damn!
Watu wanaogopa kupewa assignment na mwalimu wanaogopa wataambiwa waandike RESEARCH PAPERZAcha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? Lol
Acha tu mwalimu wengine wana fall in love na signature! Ivi mwalimu hiyo avatar yako hujapata usumbufu? Au wanaogopa "literature Study"? Lol
Hivi hommie ushaanda ratiba ya masomo? Naomba uweke kipaumbele somo la kiswahili! Mi bado changanya sana!Aisee afazali...hivi kule si hakuna avatar? Manake isijekuwa tabu tena.
Mwalimu nimekosa vipindi vyako sana....damn!
Duh kule kukiwa na Avatar kweli vijana watateketea....
(btw siku hizi off topic wapigwa ban........)
Hivi hommie ushaanda ratiba ya masomo? Naomba uweke kipaumbele somo la kiswahili! Mi bado changanya sana!
Hivi hommie ushaanda ratiba ya masomo? Naomba uweke kipaumbele somo la kiswahili! Mi bado changanya sana!
Hahaha....aisee si utani!
Hivi hapa tuko ofu topiki? turudi kwenye mjadala. Hivi tunajadili nini hapa?
btw...hiyo avatar yako sijui kama ulishawahi japo kutumiwa PM. Manake vijana hawataki misahafu! LOLZ -
Hommie usianze kuleta ukabaila hata kwenye masomo mwalimu aliniambi"Elimu ni Ufunguo wa maisha"Nasubiria amri ya mwalimu wangu.
Hahaha lazima nijifunze kutengeneza ndege ya mabua! D:Anafaa aanze na sayansi jamii lakini wewe Kimey unafaa unze na kazi ya mkono
Hommie usianze kuleta ukabaila hata kwenye masomo mwalimu aliniambi"Elimu ni Ufunguo wa maisha"
Anafaa aanze na sayansi jamii lakini wewe Kimey unafaa unze na kazi ya mkono
Babu ivi kukagua nayo ni kazi ya mikono?Hommie msome mwalimu hapa chini
Haya anza kukata kucha, ukoshe na mikono yako. Utaanza na kusuka ukili. Sawa?