Nile nini ninenepe


Incoming call

Incoming call

Member
Joined
Jan 5, 2019
Messages
25
Likes
7
Points
5
Incoming call

Incoming call

Member
Joined Jan 5, 2019
25 7 5
Wadau habari zenu

Naombeni ushauri wa namna ya kula, na vyakula gani nikila ndani ya muda mfupi nitanenepa .

Nilikuwa mnene wa wastani kwa kipindi cha mwaka mzima nikawa busy sana na kazi naweza jikuta nakula chakula hata saa kumi, alafu kiwango cha ulaji pia kikapungua yani nikila saa kumi hata chipsi za buku simalizi

Sasa hivi kila nguo inapwaya mwenzenu, nataka sasa nipunguze ubize na nijali mda wa kula ili nijenge afya yangu mana hizi hela zipo tu.

Nipeni ratiba na aina ya misosi ambayo inaweza nifanya nipate kunenepa ndani ya mwezi mmoja tu
#Siyo niwe bonge ila nirudie mwili wa zamani wa wastani

Karibuni kwa ushauri
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,655
Likes
6,365
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,655 6,365 280
Kunenepa hutokana na jinsi wewe mwenyewe ulivyoridhika ndani ya nafsi yako,hujawi kumuona mtu ana mwili mnene ila mkiingia wote hotel yeye anaagiza kipande cha mkate chai ya rangi na tumatunda kidogo wakati wewe umeagiza sahani ya wali maji juice vyote unakula wewe but kunenepa hunenepi?

Kama hujaridhika na jinsi ulivyo na vile ulivyo navyo basi hakuna short cut ya kuongeza mwili.

Sent using Redmi Note 5
 
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
631
Likes
437
Points
80
M

Mtumishi wa Bwana89

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
631 437 80
Kula nyama nyekundu, Maziwa fresh na karanga/korosho
 
M

Milanzi2018

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
338
Likes
308
Points
80
M

Milanzi2018

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
338 308 80
Kula senene Na Asali
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538