Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,287
- 40,908
Huyu amejua kwenda na upepo wa kampeni
Hii kitu lazima uwe noma kulaBila choo hakuna nyumba mkuu!! View attachment 928174
Nina uhakika makonda akishika simu yako wewe jamaa utaishia jela.Bila choo hakuna nyumba mkuu!! View attachment 928174
wadada kunyanyua mguu mmoja wakati wa kupiga picha ndio nini?
Raha ya nyumba choo kiwe na hadhi bwana View attachment 928365
Kwa hilo tako lazima umjengee choo na nyumba uweke gate kubwa vinginevyo ukiishi nyumba za kupanga majirani watafaidi