NIKUZUNGUMZA MENGI TOFAUTI KATIKA SIASA NA HISTORIA YA ZANZIBAR

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,796
31,809
Sikiliza Kipndi:
Mohamed Said: MAISHA YA SIASA YA SHEIKH ALI MUHSIN BARWANI (1919 - 2006) - KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

[FONT="arial" , "helvetica" , sans-serif][SIZE=5]Kipindi Maalum Radio Kheri '' Sheikh Ali Muhsin Barwani (1919 - 2006)[/SIZE][/FONT][/FONT][/SIZE]
[SIZE=4][FONT=Times New Roman]

[CENTER][B][FONT="arial" , "helvetica" , sans-serif]Msomi, Mwanasiasa, Mshairi, Mhariri wa Gazeti, Mwandishi wa Vitabu, Mwalimu na Mfasiri wa Qur’an Tukufu[/FONT][/B][/CENTER][/FONT][/SIZE][/FONT]
[FONT=Times New Roman][SIZE=4][FONT=Times New Roman][FONT="arial" , "helvetica" , sans-serif][SIZE=5]Kumbukumbu yaMiaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar'' [/FONT][/SIZE]
[SIZE=4][FONT=Times New Roman][/SIZE][/FONT]
[FONT=arial][IMG][URL]https://lh5.googleusercontent.com/-nxGL9zkHAwY/VWXWv-3k12I/AAAAAAAAZxk/8eoZ82OpUYU/w419-h553-no/IMG-20150527-WA0049.jpg[/URL][/IMG][/FONT]
[FONT=Times New Roman]Chini Kwenye Ngazi ya Ndege Ali Muhsin Barwani, Mohamed Shamte,
Hasnu Makame na Abeid Amani Karume[/FONT]
[FONT="arial" , "helvetica" , sans-serif][SIZE=5][/SIZE][/FONT][/FONT][/SIZE][/CENTER][/FONT][/SIZE]
[SIZE=4][FONT=Times New Roman][SIZE=4][FONT=Times New Roman][FONT="tempus sans itc"]Sheikh Ali Muhsin Barwani wakati wa kupigania uhuru wa Zanzibar alikuwa kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP) vilevile chama hiki kikijulikana kama Hizbu. Kwa mapenzi makubwa wanachama wa Zanzibar walikuwa wanamwita, “Zaim” yaani Kiongozi. Ilikuwa nia ya Sheikh Ali Muhsin Zanzibar ipiganie uhuru wake chini ya chama kimoja cha kizalendo chenye nguvu chama cha kitaifa badala ya vyama vilivyojijenga katika misingi ya rangi. Ilikuwa pigo kubwa sana kwake Abeid Amani Karume alipoasisi Afro Shirazi Party, chama kilichosimama kwa maslahi ya Waafrika na Washirazi. Sheikh Ali Muhsin alipigania uhuru wa Zanzibar mpaka ukapatikana tarehe 10 December 1963. Sheikh Ali Muhsin alishiriki katika mkutano wa katiba Lancaster House. Baada ya mapinduzi yaliyotokea Zanzibar tarehe 12 Januari 1964 Sheikh Ali Muhsin alikamatwa na kusafirishwa Tanganyika ambako alifungwa Ukonga na jela nyingine kwa kipindi cha miaka 10 na miezi michache. Katika kipindi alichokuwa kifungoni Sheikh Ali Muhsin aliandika miswada kadhaa ambayo alikuja kuichapa kama vitabu baada ya kutoka kifungoni. Kabla hajafa mwaka 2006 Sheikh Ali Muhsin aliandika kitabu cha maisha yake, ‘’Conflict and Harmony in Zanzibar,’’ ambacho kilikuja kufasiriwa kama ‘’Kujenga na Kubomolewa Zanzibar.‘’ Katika kitabu hiki cha maisha yake Sheikh Ali Muhsin anaeleza yaliyopitika Zanzibar kabla na baada ya mapinduzi. Baada ya kushindwa kupata pasi ya kusafiria, Sheikh Ali Muhsin alitoroka nchini mwaka 1974. Hadi anafariki siku zote Sheikh Ali Muhsin alikuwa akisema yale hayakuwa mapinduzi bali mavamizi.

[/FONT]
20150520_125221.jpg




DSCN0772.JPG

Mwandishi Akisoma Kutoka Kumbukumbu za Sheikh Ali Muhsin Barwani


Studio za Radio Kheri Kipindi Maalum Cha Mapinduzi ya Zanzibar
IMG-20151229-WA0101.jpg


Studio za Azam TV Kipindi Maalum Cha Mapinduzi ya Zanzibar
cleardot.gif
 
Tanzania bado kuna mianya mingi ya maendeleo ya historia yetu. Tunaweza kuitunza historia kwa kutengenezea sinema yale matukio mengi ya zamani. Mohamed Said akikaa pamoja na watengeneza sinema wa miaka ya sasa, wanaweza kuandika scripts nzito zenye ujumbe utakaodumu kwa miaka mingi sana ijayo. Kuliko watengeneza sinema zetu kuishia kutengeneza scenes ambazo kinadada wanaonyesha mapaja kuanzia movie inapoanza mpaka inapoisha, ni afadhali wakawatafuta kina Mohamed Said ili waweze kubuni kazi nzito zitakazowatoa wao kimataifa. Mzee Mohamed Said anatembea na fursa nzuri sana za kiuchumi. Na ujumbe huu ni maalum kwa watunzi na waandishi wa sinema wa Tanzania, bado kazi zao zinayo nafasi ya kuonekana na kuheshimika duniani kote.
 
Tanzania bado kuna mianya mingi ya maendeleo ya historia yetu. Tunaweza kuitunza historia kwa kutengenezea sinema yale matukio mengi ya zamani. Mohamed Said akikaa pamoja na watengeneza sinema wa miaka ya sasa, wanaweza kuandika scripts nzito zenye ujumbe utakaodumu kwa miaka mingi sana ijayo. Kuliko watengeneza sinema zetu kuishia kutengeneza scenes ambazo kinadada wanaonyesha mapaja kuanzia movie inapoanza mpaka inapoisha, ni afadhali wakawatafuta kina Mohamed Said ili waweze kubuni kazi nzito zitakazowatoa wao kimataifa. Mzee Mohamed Said anatembea na fursa nzuri sana za kiuchumi. Na ujumbe huu ni maalum kwa watunzi na waandishi wa sinema wa Tanzania, bado kazi zao zinayo nafasi ya kuonekana na kuheshimika duniani kote.
Phillipo,
Nimekusoma ndugu yangu.
Ahsante sana.
 
Mohammed Said is very highly appreciated for his contribution and educating us with real and factual history of our nation. I would like him also to write about the legends and freedom fighters from the upcountry so that we can learn of all the tanzanian legends.
 
Back
Top Bottom