Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

Nikupe Siri kuhusu UKIMWI

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,100
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbalimbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maambukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

Unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima, Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu. Ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.
 
ukimwi ni upungu wa kinga,upungufu wa kinga sio ugonjwa so hauambukizi hata siku moja ,magonjwa kama TB,ebola,gonorrhea,kaswende nk ndio yanaambukiza ila strength ya kinga (immunity) haiambukizwi.tumedanganywa sana kuhusu hii dhana ya kufikirika ya H.I.V
 
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

UMEONGE JAMBO JEMA SANA, WATU WAACHE UZINZI WAWE WAAMINIFU KWA MPENZI MMOJA BAADA YA KUPIMA NA WATUMIE NJIA ZA ASILI ZA KUFANYA NGONO
 
ukimwi ni upungu wa kinga,upungufu wa kinga sio ugonjwa so hauambukizi hata siku moja ,magonjwa kama TB,ebola,gonorrhea,kaswende nk ndio yanaambukiza ila strength ya kinga (immunity) haiambukizwi.tumedanganywa sana kuhusu hii dhana ya kufikirika ya H.I.V
Umeanza kuongelea ukimwi na ukamalizia na HIV. Two different things yet linked.

Anayeweza kuongelea athari za HIV ni mwathirika mwenyewe. Wewe tulia kula maisha.
 
Thanks kwa maelezo mazuri.Niliwahi sikia ARV zinafubaza virus.Niliambiwa hata ukipata HIV leo ukaanza kutumia dozi za ARV unapona coz virus wanakua hawaja pata sehem ya kujificha.Nlikua sijui ishu ya mwenye HIV kutumia ARV ukimpima utamkuta negative.So hata ukimpima ukakuta Yuko fresh ukagonga dry Pima tena ukikuta ipo anza dozi ya ARV ukienda kupima utakuta Huna ngoma!
 
Nisaidieni kwa hili.virus hukaa muda gan katika hewa.mfano kiwembe cha mtu mwenye vvu akijikata kwa bahati mbaya.
 
Umeanza kuongelea ukimwi na ukamalizia na HIV. Two different things yet linked.

Anayeweza kuongelea athari za HIV ni mwathirika mwenyewe. Wewe tulia kula maisha.
umeninukuhu vibaya ,nimeongelea ukimwi nakamaliza ,ndio nakaja na HIV.nimefanya hivyo kwakuwa watu wengi wanachanga dhana ya HIV na ukimwi na wengi wanadhani HIV ndio inasababisha ukimwi ndio maana nikafanya hivyo so sijamix hivyo vitu na nimeandika hivyo purposely
 
"mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative"
nimeishia hapo kusoma,nikarudi juu nikatia mkasi mpaka chini,nikaona haitoshi nikachora na masikio then nikaaandika "see me"
 
Watu wengi licha ya kusoma na kufika level mbali mbali za elimu ambazo si za afya, tuna ule uelewa wa juu juu tu kuhusu mambo ya afya na hasa swala la maamnukizi ya UKIMWI.

wengi tunajua ni kutumia kinga tu.. Ambazo pia unakuta hazitumiwi kwa usahihi. HAPA NIONGELEE KUHUSU NAMNA GANI UTAAMBUKIZWA AU HAUTAAMBUKIZWA NA MTU MWENYE HIV/AIDS

unakuta mtu katembea na dem au jamaa ambaye baadae anashtuka kujua anatumia ARV 's halafu anapaniki na kuanza kulia.. Nikupe siri kwamba endapo utatembea na mtu ambaye ni mwathirika na kwa makusudi anatumia dawa na hajakwambia.. Endapo mtu huyo katumia ARV zaidi ya miez 6 hana uwezo wa kukuambukiza UKIMWI.

Niliona uzi wa mtu mmoja aliyetoa ushuhuda eti aliingia guest house na dada mmoja ambaye alizaliwa na maambukizi na akamkuta na HIV kwa kumpima,...Sidhan kama ni kweli sababu mtu aliyetumia ARV kwa miez 6 na kuendelea hata akipima anaonekana negative sababu ARV zinafubaza wadudu.. ndio maana kuna Nabii mmoja alijinasibu kuponya watu UKIMWI na anawaambie wakapime nje walete majibu. Akijua kabisa hawa watu. Ni watumiaji wa ARV muda mrefu.

Ni rahisi kupata UKIMWI kwa mtu asiyejua kama ameathirika na ukapiga peku.. Kuliko aliyeanza matumizi ya ARV

Hata wenye tabia ya kutembea na vipimo msije mkajipa uhakika wa kuwapima na kutotumia kinga kisa umekuta yuko negative siku hyo...

NB pima, kisha tumia condom.
We ni muongo acha kuwahadaa wenzio ..mtu hata akitumia ARV miaka minne akipima bado itaonekana positive na sikama usemavyo!
 
Back
Top Bottom