jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Utata ni viporo vya mikoani, simba mikoani huwa hana rekodi nzuri.
Bora ww umejiandaa vemaMimi ni msimbazi lakini nishajiandaa kisaikolojia Jumamosi.😀
Achana naye huyo Mkuu. Ni Al Sahaf wa Tanzania.Ukitoa povu ukumbuke kuna mtandao siku hizi. Leo mikia wana viporo vingapi? Kanuni ya saa 72 haipo tena.