Mkuu, hicho nilichohadithia hapo juu siyo movie. Ni kisanga kilichotokea juzkati wakati naenda Mwanza. Na hicho kisanga ndicho kilinifanya niikumbuke movie ya tarbulence na kuanza kuiulizia kwa wadau, coz niliiona kitambo na title ilikuwa imenitoka. Mkuu Sun Wu aliponikumbusha jina la hiyo movie (turbulence), ndiyo nikaamuwa nimuhadithie kisa changu, i mean chetu.
Thanks kwa compliments zako. Nitajitahidi kufanyia kazi ushauri wako.
Hahahahahaha!!!! Story za HD, dah hiyo mpya. Thanks tho. Umenipa msamiati mpya. Aaahh!!! Lazima niutumie kwenye story zangu, ''Mimi tena!! Kwakweli napenda kuandika, sema ndiyo hivyo tena muda unanipiga chenga.Masimulizi ya HD, kama nilikuwemo vile.....
Mkuu The Boss unanibania banaaaa. Ni kitu gani hicho zaidi ya madeni???? Funguka mkuu, hahahhaaa'''''''there is something about you..
Nimependa mwanzisha mada anavyosimulia, ila kiukweli usiombe hiyo hali ikukute ukiwa angani. Siku moja naenda Mafia nimekaa kiti cha rubani msaidizi, mara rubani akaanza kushika kichwa anadai anapata maumivu makali sana ya kichwa. Kuja kutahamaki amefumba macho nikicheki chini ni bahari, nikaanza kusali kimya kimya huku nikiangalia kama kuna kisiwa kilicho karibu endapo litatokea la kutokea. Kweli kuna haja ya kupata mafunzo ya ku-control ndege hata kuiwezesha kufuata tu ule mstari mpaka rubani atapozinduka kwa hizi ndege zenye rubani mmoja bila air hostess.Hahaha haha umetisha mkuu,yamewahi nikuta na Cessna huko Mafia
Hahahahahaha!!!! Story za HD, dah hiyo mpya. Thanks tho. Umenipa msamiati mpya. Aaahh!!! Lazima niutumie kwenye story zangu, ''Mimi tena!! Kwakweli napenda kuandika, sema ndiyo hivyo tena muda unanipiga chenga.