Nikubali kuwa na huyu binti?

Sababu ya kumuacha unazijua wewe tu, Basi na uamuzi wa either kurudiana au lah uwe nao wewe tu.
 
Natamani ningekuwa nna uwezo wa kufuta baadhi ya thread kama hizi ili niwe nawasaidia mods maana utumbo umezidi humu
 
Si ungeacha hata kuandika Uzi kama hutaki kuweka sababu hapa.
 
Fanya vile moyo wako unataka we nduo unamjua huyo binti
 
Ogopa sana mapenzi pasua kichwa yani utakoma sana

Achana nae huyo hakufai
 
midterm mnafanya lini? ulikuwa wa ngapi safari hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…