Nikubali kuwa na huyu binti?

Hakuchukiii, ila anakuona "just a friend". Sio kila anayekupigia simu anakuwa na hisia na wewe..!! Acha utoto..!! Ina maana wewe wanaokupigia simu wote wana hisia na wewe..??
Naona kama haulewi vile,...acha niishie hapo
 
Kama ulimwacha kwa sababu zako unamuomba nani ushauri sasa? Si,ushauriane na sababu zako!!!
 
Rudisha hiyo sim kwa mamaako mara moja..... Ile home work ya somo la kugawanya umeshafanya? Na table ya tisa umekariri yote? Kesho usisahau kubeba fagio na maji ya kumwagia maua ni zam ya mwl frank [emoji53] [emoji53]
 
Katika mapenzi kunakitu kinaitwa 'uendawazimu wa mapenzi'
Haujasikia mtu anamfukuza mpenzi wake kwa kashifa na kipondo juu, lakini baada ya sikumbili tatu unakuta wamerudiana na wanapendana kuliko mwanzo!
Sasa watu 'dizaini' hiyo ndiyo wewe, unatutikisia kiberiti.
Kwenye penzi ni kwamba uamzi wa kulivunja ni wa kwako binafsina halihitaji ushauri.
Suala lenu ukilitoa hadharani maana yake unataka suluhu.
Mtu mwenye busara zake hata adhihirishe kabisa kuwa mmoja ananyanyasika,kamwe hawezi kutoa ushauri wa kuvunja, bali atajitahidi kusuluhisha.
Dosari ama malalamiko yahusuyo mapenzi yatolewayo hadharani huwa ni kwa ajili ya usuluhishi tu.... Wigwaga au wigagwa nyanda?
 
Mwache arudi kila mmoja utayempata ana matundu saba hutampata wa tofauti wote ni walewale
 
Hongera uwezo wako umeishia hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…