Nikubali kuolewa?

Olewa_tu_mama_kama_jamaa_yupo_tayari_kukutunza_na_umalizie_hiyo_shule_yako_kwani_sh_ngapi??Wewe_elewana_na_wazazi_kwamba_kuolewa_haitakuwa_mwisho_wa_shule_yako.

All_the_best!!!
 
Bhaaaasi........
 

Attachments

  • 1412238089007.jpg
    40.7 KB · Views: 158
bado age sio nzur sana kwa kufany hivy just vut vut kwanza may b after 3 to 5 yrs
 
nenda chjuo kwanza ndiyo utajua kama ni wako au lah
 

and u need to be empowered???
while you are fooling yourself....
they said ""fall in love but remember to take your brain with you""
choice is yours........
 
mwarabu + mpemba.....aaaaaaaaaaaaaaaaaah saidiiiiii,mjini watu wanaroho mbaya
 

Kasome kwanza miaka mitatu, minne si mingi! Lakini ukiwa huko ujichunge sana usije mkwaza mwenzio!
 
!

Mpemba V/S Mwarabu! Duuuuuuh si mchezo, na kapicha basi mama!!!!!!!!!!
 
Duh.makubwa haya..yaan miaka 20 ndo unajiona mkuuuubwaaaa mwenyewe unataka ukakalie jiti wewe uli uszn ufanye kihalali. SalaaLEEEE
 
sikia mdogo wangu, kwanza inaoyesha huyo kijana sio kwamba hataki usome ndo mana amekwambia nenda kwanza then mwaka wa pili ndo muoane, hiyo ni very possible mimi pia niliolewa nikiwa nasome chuo na nimemaliza vzr tu na mume wangu alikuwa very supportive na tulikubaliana tusitafute kwanza mtoto mpaka nimalize kusoma na imekuwa hivyo, kwahiyo kama unataka kuolewa we olewa ila wewe mwenywe kwanza weka msimamo kwamba shule ni lazma umalize na make sure na yeye anaelewa hivyo na hata kubadilikia, ila kama utaweza kuvumiliza na yeye kama ataweza kukusubiri mpaka umalize ukizingatia umri wako bado mdogo itakuwa vzr zaidi
 
Nenda shule kwanza binti, kusoma uzeeni ni shida, nadhani waliopumzika/kuacha shule kwa muda mrefu kisha wakarudi masomoni wata elezea zaidi
 
We nenda kwanza huko Mzumbe...!
Baada ya mwaka wa kwanza tupe mrejesho..
Asali umeionja, nna wasiwasi huko Mzumbe utaila kabisa..!
 

I will hit your inbox for ideal advice. :A S wink:
 
Watoto wa shule mnatusmbua tu. Acha chuo kabisa uolewe ndo maisha yatakuwa mazuri
 
Oleewa chuoo kipo kuolewa kutamu usiombeeee hasa ukute men anakupenda kweli penzi la kweli penzi huwa halifi akili ya kuandikiwa changanya na yako
 
With such mentality..woman empowerment is absurd...at 20 unalilia kuolewa..ngoja nisubir watu waje na ushauri..ila ungekua karibu yangu ningekupa nakoz...stupid

Alilie wakatika yupo 35? kuna umri ambao wachumba wanajitokeza kwa wingi na kuna umri wanakata kabisa alafu tunaombaga ushauri
 
Bado mdg soma kwanza, 20? Una hamu ya kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…