Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Kuna jamaa anaona kama katukanwa kuitwa dogo.Dogo nani huyo anakuita dogo...
Kuna jamaa anaona kama katukanwa kuitwa dogo.Dogo nani huyo anakuita dogo...
Hahahaaah Mkuu mimi sijakuita Dogo.
Ila kwetu sisi hilo DOGO halina shida hata kidogo ni kama sifa. Nina kaka zangu ambao tunaitana DOGO na wamenizidi umri na wengine tunalingana. Usipaniki kwa kuitwa dogo,,,,,,,,,by the way kama unakaribia 30 kwangu ni dogo maana mimi naiacha 40.
c.c. Dogo Patrickn
................Ze great sinker anaomba ushauri,,
Hapo kuna ugumu gani kumwambia kile unachokiona ni sahihi??? mpaka kutaka kujaza serve kwa mambo madogo kama hayo??? kweli???? mbona jibu liko wazi??