jungle boy
Senior Member
- Aug 6, 2015
- 107
- 27
Habarini za jumatatu,
Kuna mdada mmoja ni jirani yangu ana mume na watoto, mara nyingi nimekuwa nikimsaidia kumrekebishia simu yake(Android) kutokana na yeye kushindwa kujua baahi ya vitu fulan kwa iyo likitokea tatizo au kama wwhatsapp imezingua mara nyingi huniomba nimsaidie.
Sasa leo nimeonana naye baada ya kusalimiana nae akanambia japo akapinda kona(kanificha) lakini mwisho mi nikaja kujua kuwa mumewe ana kamchepuko sasa anataka amjue mwanamke uyo.
Kwa hiyo akaniomba nimsaidie kuijua iyo namba pale anapowasiliana naye nikamkatalia na kumwambia hata ukijua haitasaidia kwa sababu anaweza kubadili akatumia simu nyingine lakini ni mng'ang'anizi mwisho nikamwambia hiyo inawezekana lakini ni lazima simu ya mumewe ianze kuwekewa iyo program(application).
Akasema hilo halina tatizo mi nitambadilishia ntampa yangu uweke then baadae nitaichukua yangu na kumpa yake duuh yaan uyu mdada kadhamiria lakini mimi naona its meaningless kufanya ivyo na kuhusu mumewe hajui kabisa masuala ya simu za android mara nyingi mimi ndio huwa nawasaidia lakini pia sitaki kufanya ivi.
Naombeni mnisaidie nimkwepe vipi huyu dada maana kwangu itakuwa kero