Nikuambie kitu?

Nikuambie kitu?

mm kama sms kama hizo huwa nakaa kama nusu saa hivi sijibu baada ya hapo nampigia simu alafu naanza kumweleza matatizo yy mwenyewe ataogopa kunipiga kirungu
 
hivi wanaume wako wapi? kitu kidogo hata hajasema unaogopa? wavulana mna shida
 
Hivi ni lazima wanawake wavae nguo za kubana makalio?
 
hivi wanaume wako wapi? kitu kidogo hata hajasema unaogopa? wavulana mna shida
Nionyeshe wapi nimeogopa? Isije ikawa ni wewe ulie tuma hii msg
Wafu na wazikane
 
Yaani mimi sianzagi na nikwambie kitu.
Naenda direct. Nina shida na hela kwa ajili ya kitu flani. Inatosha
 
Back
Top Bottom