Nikuambie kitu?

Acha woga mkuu ukute hana mpango huo wa kukupiga
 
zima simu toa line
vunja simu kisha vunja na line
Haha ndio huwa unafanyaga hivyo? Sa si nibora kumpa tu maana hiyo pesa utakayo nunulia simu nyingine ungeweza save hata robotatu yake!
 
Haha ndio huwa unafanyaga hivyo? Sa si nibora kumpa tu maana hiyo pesa utakayo nunulia simu nyingine ungeweza save hata robotatu yake!
simu nayotumia bei yake unaijua ?
huyo mwanamke kuniomba hela ataona aibu
 
simu nayotumia bei yake unaijua ?
huyo mwanamke kuniomba hela ataona aibu
Haha hata kama ni itel zile za minada (20000) umsikilize kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…