Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Ahsante umelaisisha soma la utt....manaake nikama deposite account za benki?UTT n mfuko wa hisa
[emoji736]Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
[emoji736]kutoa pesa inachukua siku 3
[emoji736]Unaweza chukua pesa zako muda wowote
[emoji736]Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
[emoji736]Haina makato ya kila mwezi kama benk
[emoji736]Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
[emoji736]Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%
1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000
KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20
🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi
10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka
Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Suali langu hiyo UTT inamilikiwa na private sector kwa regulations za BOT au inamilikiwa na BOT kwa niamba ya serikaliUTT n mfuko wa hisa
[emoji736]Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
[emoji736]kutoa pesa inachukua siku 3
[emoji736]Unaweza chukua pesa zako muda wowote
[emoji736]Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
[emoji736]Haina makato ya kila mwezi kama benk
[emoji736]Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
[emoji736]Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%
1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000
KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20
🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi
10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka
Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Liko sawaAhsante umelaisisha soma la utt....manaake nikama depisite account za benki?
twende mamaaKnowledge is power!!
Ahsante.
Mfuko wa umma siyo privateSuali langu hiyo UTT inamilikiwa na private sector kwa regulations za BOT au inamilikiwa na BOT kwa niamba ya serikali
Pambana utie mpungaKila nikitaka kutia kibunda huko shetani ananivuta shati kwa starehe zake uchwara, safari hii hanidaki.
Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.Kwa hesabu ya haraharaka ili upate faida ya kueleweka kutoka huko UTT inakubidi uweke kuanzia milioni 50 ili angalau kila mwezi uwe unapata laki 5
Ooh hapo nimekuelewa kumbe interest inakuwa inabadilika kwa formula ya compound interest hapo ina make sense.Mkuu..siyo lazima uwe na mtaji mkubwa. Unaweza kuanza hata na mil 10. Na hilo gawiwo la kila mwezi unaweza kuamua usiwe unalichukua...mtaji wako ukaendelea kukua kwa Formula inaitwa Compound Interest..baada ya miaka 10 ukakuta zaidi ya mil 30.
Hapo utaona Faida ya Utt..lakini siyo kuchukua gawiwo kila mwezi.,
Naam mkuu,Compound interest ina maajabu makubwa sana..kwa kiswahili hujulikana kama faida jumuishi.Ooh hapo nimekuelewa kumbe interest inakuwa inabadilika kwa formula ya compound interest hapo ina make sense.
Kuna kias kinabaki kwenye mtqji wako mkuu..angalia vizuri. Hawaingizi yote asilimia 12,lakini kuna amount inabakia kwenye capital yako ya uwekezajiMimi nimewekeza hapo ila hiyo 12% sijawahi Iona naona ni kama wanaingiza 8.9% kila mwezi
Kula mbususu wewe wachana na utt hiyo ni kwa wenye million 400 na kuendeleaKila nikitaka kutia kibunda huko shetani ananivuta shati kwa starehe zake uchwara, safari hii hanidaki.
Una maanisha kila mwaka bila shaka. Ina flactuate 9 to 12% kwa mwakaMimi nimewekeza hapo ila hiyo 12% sijawahi Iona naona ni kama wanaingiza 8.9% kila mwezi