Nikopesheni hela jamani

Aisee pole..na usiku wa kuamkia ahadi ya kulipa deni unavyokuwaga mfupi kwa mdaiwa, sasaivi jogoo linawika.
 
Unalipa kila mwezi Tsh150,000 au kodi ya mwezi ni Tsh5,000,,pole sana,kwa ushauri ungesema uko wapi ili wenyeji wakufuate wajue kama una sifa ya kukopa
 

Doh, inategemea. Kuna wenye nyumba wengine ni vimeo sana ujue..
 
Vipi tena ticha.......mbona tarehe za kike hizi.......au.....namna gani vipi.......?......
 
Mwenye nyumba ananidai kodi jamani na hela sina kwa sasa kuna jamaa nlimukopesha nae mambo hayajakaa vzr. Naomben ndugu zangu mnikopeshe laki na nusu ntarudisha ijumaa ya wiki lijalo

dah pole
 
tunakopesha ltd nayo ipo hoi ungewakopa.
 
Pole sana ila nikushauri tu angalia mara mbili uhusiano wako na mwenye nyumba, haiwezekani ashindwe kukuvumilia siku chache(hata mwezi). Kama tatizo sio wewe basi huyo jamaa atakuwa sio mtu mzuri. Laki na nusu ni ngumu kidogo kupata nakushauri utafute hata 50 tu umpe na umuomba asubiri upate hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…