Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
MATAPELI HAWAJAANZA LEO jf, TANGU 2010 najiunga walikuwepo, ila mbinu zinabadilika. Ni uzembe wa Jamii Media kutokuweka utaratibu maalumu, pia sio uzembe, ni UNAFIKI WA HALI YA JUU maana kuna ambao waliombewaga msaada na JF yenyewe kabisa ikiongozwa na Melo, pia sisi walituchangisha sana enzi hizo. Nimemumia sanaMods waweke utaratibu wa kueleweka ya nyuei kama hii la sivyo matapeli wa mitandao watapiga kambi JF, inaleta mashaka kidogo kwa member aliyejiunga juzi leo anaanza kupiga mizinga, japo shida haina mwenyewe wala haichagui siku!
Ulifanyalo ni dhihaka. do you knos SOS?ni uataratibu dunia ilijiwekea, yaani ukipiga simu kwa mfumo wa SOS (haihitaji laini, vocha au hata network) NI LAZIMA WAJE WAKUSAIDIE hata kama ni kwa kuruka kwa ndege. Ni sawa na mtu anayekutmia SMS akiwa jela...hiyo SMS inaweza kuwa imemgharimu lunch yake ili tu apate nafasi ya kukutext.Duh....ngoja na mm nitesti zali?
Wadau nipeni 6000/ Nna kiu na safari ndogo leo hali tete....
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzy sana wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje kukupa gazeti jamani mm na ww hilo lilistahili kabisa yaani haujakosea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka nimjibu vp? Hilo ndio jibu alistahili kabisa. Ngoja niendelee kusubiri gazeti kutoka kwako [emoji23][emoji23].
Kachungulia nyuzi za "VIZINGA" zimekuwa NYINGI...naye kajaribuUmejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naanzaje kukupa gazeti jamani mm na ww hilo lilistahili kabisa yaani haujakosea
Yaani sijaelewa elewa hivi unasemaNasubili gazeti kuhusu ww kuwa mke wangu [emoji16][emoji16][emoji16]
dingimtoto njoo umueleweshe shemeji yako.Yaani sijaelewa elewa hivi unasema
Akuje tu sina hata nilichoelewa shunie mm jamanidingimtoto njoo umueleweshe shemeji yako.