[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
Nitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????Mkuu nimejisikia tu kukupa wala sitakukopesha kama kweli unamaanisha
Nimesema "NENDA KALIME"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba nimecheka sanaNitumie ndugu yako niongezee Heineken hapa. Huyo si kajiunga juzi tu? Au alijiunga baada ya kuambiwa JF kuna shirika la good Samaritan????
Sasa unacheka nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakunyumba nimecheka sana
Umejiunga JF juzi tu alafu unaanza kupiga mizinga
Wakunyumba nimecheka sana ulivyoniambia nikutumie ujinywee heineken zako yaan maelezo yake yananitia huruma jamaniSasa unacheka nini?
Yanatia huruma kweli ila huruma huzaa dhambiWakunyumba nimecheka sana ulivyoniambia nikutumie ujinywee heineken zako yaan maelezo yake yananitia huruma jamani
Sawa mama angu nimekuelewa acha tumwache tu tuongezee kwenye heinekenYanatia huruma kweli ila huruma huzaa dhambi