Tamutamusana
Member
- Nov 18, 2016
- 46
- 39
Kwa yeyote anayeweza kunikodisha au kuniuzia marine plywood zilizotumika. Nahitaji zaidi ya 25
Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400
Nipo dar
Pia mbao zilizotumika za 4 by 2 zaidi ya 100 bila kusahau mirunda zaidi ya 400
Nipo dar