Niko Sinza nachunwa

RFP

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
171
Reaction score
194
Nimemwambia nimtoe out kakubari, sasa nimemleta nimemwambia tutafute chumba kakataa anasema hajisikii vzur yuko period, jaman mda mwingine mkiwa period muwe mnasema sasa apa naliwa tu..sijui nifanyaje najuta kuchepuka! Ukija light now hapa sinza mori unaniona nilivo Nuna, nimevaa shati la njano hapa Katalunya! Jamani....
 
Mkuu nawaza sana
 
 
Sasa hapo ulilenga kumtoa out au kumwingiza in? Hajafanya kosa lolote.
 
Hongera kwa kutambua kwamba unachunwa.

 
hapo mchuno tu papuchi kwa mkeo,nakushauri ukirudi nyumbani mnunulie wife kazawadi kokote ,itakuondolea iyo hali ya kufedheheka, duh
!!
 
Mkuu nimecheka sana hasa ukitegemeaulihitaji kugonga mzigo leo.....haha haha inauma aiseee
 
Kwan umeshikiliwa hapo mkuu? Ww sepa na hizo ndio hasara z kuchepuka. Hizi hela unazospend hapo bora ungezipeleka kwa familia yako
Kaka ndo apo, nilitaka nionje kitu kipya
 

Anyonye inatosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…