Niko posta hapa ANGAZA ni maeneo gani?

Posta ziko mikoa yote. Wewe uko mkoa gani? Kama uko Dar basi uliza maktaba uendelee nayo barabara magharibi yake
 
Kama ni Dar basi nenda mpaka maktaba ile barabara ya bibititi karibu na mahakama ya kisutu halafu ifate road ya kwenda mwenge halafu ulizia AMREF ni VCT hao wapo karibu na ubalozi wa Japan.
 
Back
Top Bottom