Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,658 Jan 26, 2016 #2 Ushafika wapi mkuu unisubiri?
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jan 26, 2016 #3 Halafu watoto wakali balaa, sio mitipwatipwa
J jojojo JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 923 Reaction score 399 Jan 26, 2016 #4 Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,631 Reaction score 11,890 Jan 26, 2016 #5 Hiyo nchi hutaweza kuishi, nimepita hapo. Unachoweza 'kuokoto' mtoto mmoja na kurudi nae Bongo, maana wanapenda kweli kuondoka nchini humo, lakini hawana namna tu.
Hiyo nchi hutaweza kuishi, nimepita hapo. Unachoweza 'kuokoto' mtoto mmoja na kurudi nae Bongo, maana wanapenda kweli kuondoka nchini humo, lakini hawana namna tu.
I idrisabizzy Senior Member Joined Dec 5, 2015 Posts 112 Reaction score 48 Jan 26, 2016 #6 Pagan ukifika huko nitakuagizia mmoja unileteeeeeeeee
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,279 Reaction score 22,169 Jan 26, 2016 Thread starter #7 jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... Hapo usiwaletee habari za dini, hawaelewi unatakiwa uoe mademu watano au jela.
jojojo said: Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea Click to expand... Hapo usiwaletee habari za dini, hawaelewi unatakiwa uoe mademu watano au jela.
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,296 Reaction score 33,616 Jan 26, 2016 #8 Hizo ndio nchi za kuzitembelea!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,279 Reaction score 22,169 Jan 26, 2016 Thread starter #9 Ng'wanapagi said: Ushafika wapi mkuu unisubiri? Click to expand... Man mi sigeuki nyuma, ukifika utakuta nshaoa wanane tayari
Ng'wanapagi said: Ushafika wapi mkuu unisubiri? Click to expand... Man mi sigeuki nyuma, ukifika utakuta nshaoa wanane tayari
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 26, 2016 #10 Ng'wanapagi said: Ushafika wapi mkuu unisubiri? Click to expand... Haahaaa..... mnaenda kwa miguu au?
Ng'wanapagi said: Ushafika wapi mkuu unisubiri? Click to expand... Haahaaa..... mnaenda kwa miguu au?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 26, 2016 #11 ha ha ha duh wale wanawake wenye wivusijui itakuwaje?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 26, 2016 #12 ila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 26, 2016 #13 Nimeshafanya booking ya warembo watatu tayari.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 26, 2016 #14 miss chagga said: ila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh Click to expand... Vinakupita hata weweee.... Mkuu?
miss chagga said: ila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh Click to expand... Vinakupita hata weweee.... Mkuu?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jan 26, 2016 #15 EMMYGUY said: Vinakupita hata weweee.... Mkuu? Click to expand... ndiyo maana yake mkuu
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,336 Jan 26, 2016 #16 Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Jan 26, 2016 #17 Nifah said: Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania. Click to expand... Kwani unaenda kuishi huko, suala la msingi ni kuchukua warembo na kugeuza home Tz.
Nifah said: Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania. Click to expand... Kwani unaenda kuishi huko, suala la msingi ni kuchukua warembo na kugeuza home Tz.
beatus11 Senior Member Joined May 24, 2009 Posts 151 Reaction score 73 Jan 26, 2016 #18 Nifah said: Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania. Click to expand...
wembeee JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 2,708 Reaction score 1,357 Jan 26, 2016 #19 Wanawake wazuri sana cz awana vitambi kama wa kibongo
Ng'wanapagi JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 9,116 Reaction score 8,658 Jan 26, 2016 #20 PAGAN said: Man mi sigeuki nyuma, ukifika utakuta nshaoa wanane tayari Click to expand... Mkuu niko serious kabisa umefika wapi? Taratibu za uraia zikoje huko?
PAGAN said: Man mi sigeuki nyuma, ukifika utakuta nshaoa wanane tayari Click to expand... Mkuu niko serious kabisa umefika wapi? Taratibu za uraia zikoje huko?