Niko njia panda

jamani dada white mbona waonekana una hasila hivyo? Ssio ny.ege tu kama unavodhani am in love
 
mie nina miaka 24 na yeye 38 uwezo wake wa pesa siufahamu ila ni MD wa kampuni flani
 
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
 
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu
Nyani kasoro mkia,tumia akili na usitumie emotions,mme wa mtu kwa nini unamganda,rudi kwa bf wako.Miaka 24 siyo mtoto wewe tumia akili.huyo mme wa mtu achana nae alee familia na kusomesha watoto wake.na wewe tengeneza familia yako.
 
Jamani mie nahitaji msaada wa mawazo kwani nilishatambulishwa nyumbani kwao bf wangu, kunitusi hakunisaidii mnazidi kunipa wakati mgumu tu

Unahitaji msaada gani mrembo.......mmmmmmmmh
 
Deepa mimi siyo msaliti na ndiyo sababu ilinitake time mpaka kuanza kuse.x na huyu mume wa mtu
 
Azote siyo kuwa namganda mume wa mtu ,nampenda na kama ni kuachana naye nimejaribu twice ikashindikana
 
Deepa mimi siyo msaliti na ndiyo sababu ilinitake time mpaka kuanza kuse.x na huyu mume wa mtu
haijalishi imetake time,but umesex ndicho kinachomatter,achana na mme wa mtu.Mkewe akijua amani haitokuwepo,unae wako kwa nini ugande kwa mme wa mtu.
 
Msaada ninaohitaji ni namna gani naweza breakup na bf wangu bila kumuumiza wala kumfanya awachukie women
 
Azote siyo kuwa namganda mume wa mtu ,nampenda na kama ni kuachana naye nimejaribu twice ikashindikana
Hujaamua tu,kwa nini ishindikane?kwani umedhaliwa nae?miaka yote uliyoishi bila yeye kuwepo katika maisha yako ilikuwaje?achana nae,unajitengenezea mwisho mbaya
 


Umenisikitisha sana kwamba kumuacha mme wa mtu haiwezekani kwani ni mmeo huyo? tena unasema ndipo mlipoanza uhusiano officially nani kakudanganya kuna official kwa mme wa mtu? shehe/padri/mchungaji aliwahalalishia? sijaona mwanamke KING`ANG`ANIZI kama wewe.Endelea lazima itakutokea puani siku Mungu atakapokulipa uovu huo juu ya kichwa chako mchana kweupe.

Unaharibu familia ya wengine unakuja kutafuta ushauri ole wako we dada nakuonya kabla mwaka huu haujaisha nayo kuambia ukiendelea lazima yakutokee ili iwe fundisho kwa watu wenye roho ya zinaa kama yako.Badala ya kuendelea na huyo asiye na mke unajiona shujaa kupora waume wa wenzio kisa MD? unajua alikotoka na mkewe nawe unakuja jipitisha.
NAKUHAKIKISHIA MALIPO UTAYAPATA SI MUDA MREFU.
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda

Acha utoto/ujinga na hata upuuzi wewe unafikiria mapenzi kwenye ndoa ya mwenzio....Wenzio wamemwagiwa uji au kudungwa risasi wakijisemea wanatafuta mapenzi kwa waume za wenzao, kama moyo hauchaguliwi wa kupenda mbona hujawapenda kimapenzi ndugu, baba au kaka zako. Hapa naona unataka kuifurahisha nafsi yako ili uendelee na ufuska wako.
 
Azote nadhani hujanielewa mie kuachana na huyu mume wa mtu inakuwa vigumu kwani tushaenda extra miles si juu yangu tena kuamua
 
 
Azote nadhani hujanielewa mie kuachana na huyu mume wa mtu inakuwa vigumu kwani tushaenda extra miles si juu yangu tena kuamua
kwa mmeoana?mmezaa?tuambie basi ni miles zipi hizo mlizoenda?mpaka ushindwe achana nae,au amekuahidi atamuacha mkewe akuoe wewe?au umeridhia kuwa nyumba ndogo yake?funguka basi
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
Hebu jaribu kutoka nje ya feeling zako na uwe realistic. Kumbuka moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote na hakuna awezae kuujua isipokua Mungu. Jaribu kuvaa kiatu cha mwanamke mwenzio na uone inavyouma , Usiongozwe na matakwa ya mwili. Huo mwili huwa tunautiisha tu ili uweze kufuata matakwa halisi. Unaposema huezi kuuchagulia moyo hapo unaniacha hoi so kesho moyo ukikwambia kuna mtu mwingine umpende basi wewe utaufuata. Kumbuka usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako. Wahurumie hata watoto wa mwanamke mwenzio na familia yake kwa ujumla. Kumbuka mshahara wa dhambi ni mauti, mwambie tu ukweli huyo bf wako kua unatembea na mume wa mtu kwa kua moyo umeshindwa kuuchagulia akiwa na hekima atakuelewa na kukupa hongera. Inashangaza sana yaani hutaki hata kumuacha mume wa mwenzio , wewe inabidi ukigundulika upewe fundisho ili usirudie tena. Kama mwenye mume ni mkorofi na anaishi dar basi subiri uionje chungu yake.
 

Wachana na mume wa mtu weee mtoto wa kike! Hapo hakuna cha kupenda wala nn ni kuendekeza tu. Hebu jiweke upande wa pili wa mke wa jamaa ukisikia habari hizo utafurahi? Ni tamaa zako tu zinakusumbua. Wee subiri jamaa yako arudi muoane,nawe ufaidi vyako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…