Niko njia panda

MWAMBIE HAWARA akuoe UPANDE CHEO kwani tatizo nini?maana ingekuwa rahisi badala ya kuomba ushauri,ungekuwa na uhakika kwamba atakuoa awe wako kabisa amwache mkewe maana wewe ni zaidi ya mkewe....kwani huyo MUME WA MTU amekwambiaje ndoa ni lini??
 
Jamani ni mkristo ila swala si ndoa bali mapenzi, na huwezi uchagulia moyo yupi wa kumpenda
hapo mie ndo nasemaga kila siku humu, kuna wakati hutakiwi kuufuata moyo..,hapo akili ndo inabidi kutumika. huo moyo unaoufuata utauponza mwili na wote mtaenda kuzimu.. Unachukua mume wa mtu alaf unasema 'eti kumuacha haiwezekani' nyambaf
 
Una enjoy sana eeeeh? Subiri utakapoolewa na ww ndipo mumeo atakapomegwa utakavyojisikia ndo anavyojisikia mwenye mume=mwosha huoshwa pia
 
bora dada yaqngu umempa ukweli huyo malaya maana ni mpuuzin na limbukeni ambaye elimu yake haijamsadia, we utaanzishaje mapenzi na mme wa mtu na kungangania kutomuacha badala ya kutafuta wako uwe na familia yako
 

Mbona unamtisha mwenzio as if you are God???? Kama wewe ni mhubiri Injili mwambie Neno la Mungu na sio vitisho!
 

Unashindwa kuelewa lipi linamfanya ang'ang'anie mume wa mtu!!! GREAT SEX & SWEET POCKET!
 
MAlipo yake atayapata lini?wakati wa kujifungua?
 
ninavokutazama moyoni unataman aachane na mkewe uolewe ! mapenzi yanakasumba ya kufisha utashi na nafs ya utambuz na hivo kwa sababu anakuridhisha unaona ndo chaguo lako napenda kuvunja mipaka yako na kutoheshm hca zako kukwambia kwamba aina hii ya mahusiano ni utumwa kwako kwan unatakiwa kufanya mambo kwa usahih kadr apendavo huyo bwana ili kumudu kuwa nae kitu ambacho kitakufanya kuwa mtumwa ukihofia kuachwa, lakn nakuhakikishia kuachana na mtu ni sekunde tu na kwa sababu ndogo hata icokuwa ya mcng so weigh kama uko tayar kupoteza mda na kuumizwa kama ww unavoelekea kuumiza mtu wako wa awal fine hasara nyingne pia utajisikiaje kumkosa huyo mwenzi mpya mara kibao kisa kapeleka huduma kunako familia nawe kukilalia peke yako kitanda ungal kichwani ukijua kuna mtu anapewa raha kipindi hicho cha huzun kwako? kabla hujamwambia mpenz wako subr kaa tafakar na amua kwa gharama zozote ili ukabiriane nazo
 
Mbona unamtisha mwenzio as if you are God???? Kama wewe ni mhubiri Injili mwambie Neno la Mungu na sio vitisho!

Nafikiri hujasoma vema neno.....neno linasema Mungu akikuambia kumuonya mtu juu ya uovu wake nawe usimuonye mtu huyo akafa katika uovu wake,damu yake Mungu ataitaka mikononi mwako ila ukimuonya damu yake itakuwa juu ya kichwa chake...kazi ya kuonya ni ya wanadamu kazi ya kuhukumu ni ya Mungu,au unataka kusikia neno unalotaka usikikie mwenyewe.......mimi nimeshafanya kazi yangu hilo tu.
 
Kumwacha mume wa mtu hutaki sasa unahitaji ushauri gani tena? Haya nenda kamweleze mke mwenza kwamba umemchukulia mume
 
Cheka leo kesho utalia. Hujui unachoitaji kaika maisha yako na nina wasiwasi na elimu yako ama ndo vyuo vya barabarani huwezi kupambanua hata mambo ya maisha yako... kila la heri..
 
majibu yote unayo kama huwezi kumuacha unaomba ushuri wa nini?:shut-mouth:
 

dunia kweli ina mambo...
 
unaomba ushauri wakati sentensi ya mwisho imetupa msimamo wako? tukushauri kazi bure?
 
ni bora uwe fukara kuliko kukosa akili wewe mwanamke ni kati ya wanawake wajinga ndani ya jamii
 
pumbavu ww ndo wale wezi wawaume wawatu huez mwacha wako uyoo?
unastail azab ya kitanzi.
 
,huyo mume wa mtu akitosheka hutamuona atarudi kwa mkewe utaisoma number....wewe endelea for time being ukiukwaa utalia na ndugu zako sio na jf members....mxiuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…