ushagundua ana watoto wawili,then bado unatafuta ushauri??habari wana jf, natuamina wote mko poa humu ndan,
mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj nae huonyesha ushirikiano, miezi kama miwili sasa imepita toka nlivyomwonyesha interest ya kumuoa na kumvalisha pete it was a very good day since hapo alizidi kunipenda sana ...till yesterday...
naandika thred hii nkiwa nko njia panda naomben ushauri,
jana nlimtoa dinner mida ya kama saa moja ivi tulikua maeneo ya msasani kwa eddo,.the moments where so fine till mida ya kama saa nne kasoro aliniomba anaenda toilet ila aliacha sim yake pale mezan, haikuchukua dk 5 sms kwenye sim yake iliingia na ujumbe mzito ambao uliharibu mood yangu yote kwa siku ile.
to cut it short the gal ambaye nmemvisha pete miez miwili iliyopita ana watoto 2 nje na wako kwa bibi yao..kinachoniuma zaidi since nmeanza mahusiano na huyu dada amekua akikana kwamba anamtoto japo kuna baadhi ya ishara nliziona mwili ila akawa anakataa kabisa. so nmekua na jiuliza maswali kama ameweza nidanganya hivi vipi huko mbele napotaka kwenda nae 😰.
Hilo ni ghaka 💯 yani janamke linalokataa watoto kisa kuolewa ni ovyo kabisa.Yaan ni mshenz sana huyo.....Nini maana ya kuitwa mama,Ivi wamama tuna tamaa na ndoa kias hiki mpaka tukane watoto😭😭😭😭 mi moyo umeniuma sana.Embu huyo mkaribishe ghetto nialike kupiga,tupige tumwachie alama usoni...mjinga huyo.Ndo maana unakuta mtoto ukubwani anamchukia mzazi wake pasipo kujua history yake tunalaumulaumu TU.Mshenz huyo😏😠habari wana jf, natuamina wote mko poa humu ndan,
mi nikijana wa miaka 33 sasa nmekua na mahusiano na mdada mmoja wa kichaga from marangu yapata miez karibia 6 sasa, mwanzon mpaka juz tulikua vizuri tu nampenda na yeye kwa upande wake naona anaonyesha upendo na kunijali kwan kila nikimhitaj nae huonyesha ushirikiano, miezi kama miwili sasa imepita toka nlivyomwonyesha interest ya kumuoa na kumvalisha pete it was a very good day since hapo alizidi kunipenda sana ...till yesterday...
naandika thred hii nkiwa nko njia panda naomben ushauri,
jana nlimtoa dinner mida ya kama saa moja ivi tulikua maeneo ya msasani kwa eddo,.the moments where so fine till mida ya kama saa nne kasoro aliniomba anaenda toilet ila aliacha sim yake pale mezan, haikuchukua dk 5 sms kwenye sim yake iliingia na ujumbe mzito ambao uliharibu mood yangu yote kwa siku ile.
to cut it short the gal ambaye nmemvisha pete miez miwili iliyopita ana watoto 2 nje na wako kwa bibi yao..kinachoniuma zaidi since nmeanza mahusiano na huyu dada amekua akikana kwamba anamtoto japo kuna baadhi ya ishara nliziona mwili ila akawa anakataa kabisa. so nmekua na jiuliza maswali kama ameweza nidanganya hivi vipi huko mbele napotaka kwenda nae 😰.
unataka kusema amechelewa???Miaka 33
Mdomo koma [emoji40]
Kuchelewa no,ila nàhisi kawaza umri wake na akili yake mbovu haviendani kabisa...yaan katambua ukweli then bado anaomba ushauri🤣🙌unataka kusema amechelewa???
Hii dunia kila mtu anapita unyayo wake,
tunatofautiana mitizamo
Umri wake bado bhana 33....sema kufanya maamuz hapo simshauri sababu uongo umetangulizwa mbele....ilitakiwa awekwe Waz tangu mwanzo Ili achagueHamjaenda mbali sana !! Kama unaona hutaweza kulea mtoto asiye wako !! Mwache aende kama upo tayari na unaona binti anafaa kuwa mke jitose !!
Halafu miezi sita mmewahi sana !! Kama huko nyuma hakuwahi hata kuwa rafiki yako ! Pia na wewe una haraka sana maana umri unakutupa mkono ! Tuliza akili
Ahhh acha nicheke,uchumba sio ndoa.Sijaiona njia panda unayoisema hapo, umeshajua ana watoto wawili yaani Ukiendelea naye ukamuoa unakuwa umefungwa 2-0, uchumba sio ndoa, Pete ya uchumba si Pete ya ndoa, halafu aliyezaa mbona rahisi tu kuwatambua.
Nahitimisha kusema usibebe mzigo usio wako.Single mother siwawezi, most of them, na sitaki, nisiwe mnafiki...
Wengi wenu huwa mnajipa matumaini kwamba watoto wao wakikua watakuja kukuheshimu kuliko baba yake mzazi, kwa pesa zote ulizowekeza kwa watoto hao siku moja utaambulia ahsante na kwaheri.
Kwa nini uwekeze pesa zako kwa someone else’s genes, sana sana hao watoto baadae hawatokuheshimu, kumbuka those kids are carrying another man’s genes...
Kitu kingine fanya uchambuzi yakinifu kwa nini huyo mwanaume aliyemzalisha hajamuoa, she may seem sweet and loving initially in an effort kukupumbaza , but you never know who she really is until uki tia sign huo mkataba wa ndoa ndipo utajua hujui, halafu inakua too late mzee...
Jua kabisa yupo single kwa sababu maalumu, sasa we ukamvisha na pete kabisa, usi risk your time and money kwa mtu ambae si mwaminifu... utaumia
Ukiniuliza kama kuna single mother wazuri? wapo ndio, lakini sijawahi kuona au kukutana nao....
Ngoja single mothers wa JF waje, hakuna logic ni emotions tu, lakini ndio ukweli nakuambia, epuka single mother at any cost, wanakuja ku comment hapa jiandae kudanganywa..
kuna ishara nlisha ona kaka nyingi tu nikimuuliza anakataa..Sijaiona njia panda unayoisema hapo, umeshajua ana watoto wawili yaani Ukiendelea naye ukamuoa unakuwa umefungwa 2-0, uchumba sio ndoa, Pete ya uchumba si Pete ya ndoa, halafu aliyezaa mbona rahisi tu kuwatambua.
nmekwelewa man💪Single mother siwawezi, most of them, na sitaki, nisiwe mnafiki...
Wengi wenu huwa mnajipa matumaini kwamba watoto wao wakikua watakuja kukuheshimu kuliko baba yake mzazi, kwa pesa zote ulizowekeza kwa watoto hao siku moja utaambulia ahsante na kwaheri.
Kwa nini uwekeze pesa zako kwa someone else’s genes, sana sana hao watoto baadae hawatokuheshimu, kumbuka those kids are carrying another man’s genes...
Kitu kingine fanya uchambuzi yakinifu kwa nini huyo mwanaume aliyemzalisha hajamuoa, she may seem sweet and loving initially in an effort kukupumbaza , but you never know who she really is until uki tia sign huo mkataba wa ndoa ndipo utajua hujui, halafu inakua too late mzee...
Jua kabisa yupo single kwa sababu maalumu, sasa we ukamvisha na pete kabisa, usi risk your time and money kwa mtu ambae si mwaminifu... utaumia
Ukiniuliza kama kuna single mother wazuri? wapo ndio, lakini sijawahi kuona au kukutana nao....
Ngoja single mothers wa JF waje, hakuna logic ni emotions tu, lakini ndio ukweli nakuambia, epuka single mother at any cost, wanakuja ku comment hapa jiandae kudanganywa..
Brother atakuchelewesha huyo, mabinti wako wengi hapo tu umejua anawatoto wawili bado haujajua kama Kila mtoto na baba yake, utazimia wewe sepa acha kuzubaa ulipokuwa unamuuliza anakataa Kwa kutoa sababu gani kwamba maziwa yameshuka yenyewe??kuna ishara nlisha ona kaka nyingi tu nikimuuliza anakataa..
nmekwelewa man💪
acha tu kaka...kipengele...ila ukimwona ukiambiwa hajazaa unakubali mpaka umvue nguo ndo utajua na ni maziwa tu kidgo ndo...Brother atakuchelewesha huyo, mabinti wako wengi hapo tu umejua anawatoto wawili bado haujajua kama Kila mtoto na baba yake, utazimia wewe sepa acha kuzubaa ulipokuwa unamuuliza anakataa Kwa kutoa sababu gani kwamba maziwa yameshuka yenyewe??
Tumbo hukuona brotheracha tu kaka...kipengele...ila ukimwona ukiambiwa hajazaa unakubali mpaka umvue nguo ndo utajua na ni maziwa tu kidgo ndo...