Niko njia panda! Nikate mzizi wa fitna?

Yalishawah kuntokea hadi nnaetuhumiwanae akataka tufanye kweli nlikubal na tukafanya lkn baadae nlijilaum kwa uamuz wangu nami nakushauri usidhubutu kuduu nae, maana wakija kupata uhakika watakuharbia maana inaonekana hapo ofisini wanakuonea wivu ulivyokaribu na huyo bint.
 

Shetani wangu sasa nananituma nikate mzizi wa fitna! ETI KWA KUWA NIMEITWA MWIZI NAMI SIO MWIZI BASI NIIBE ILI NIHUKUMIWE KWA NILICHOFANYA NA SIO KUHISIWA TU!

JE NIMALIZIE WALICHOKITAKA AMA NIACHE TU SHETWANI APITE!

hahaha mambo mengine yanachekesha umezunguka weeee kumbe unataka huruma ya watu uweze kufanya uzinzi loh!!! nilitaraji uombe waungwana wakushari jinsi ya kuepukana nalo janga hilo kumbe wewe akili yako tayari imeshajiweka kwenye hilo jambo duh sina la kushauri zaidi
 
Baba naona unacheza na moto veve !!
unaelewa madhara ya mapenzi kazini ? mi mwenzio mapenzi sijaanza leo, the way unaongea inaonyesha uko mapenzini.
Mi ushauri wangu kama uyo binti ushamkata achana nae mara moja kama hujadoo nae kaza msimamo ukiona umejaribu tu basi ujue hiyo sio kazi tena kama hapo ofisini we ni bosi basi ujue huyo binti atataka awe bosi wa hao wa chini yako !!
Tahadhari : hiyo tabia unayotaka kuanza mkeo akipata uhakika kuwa unafanya nae akaanza makeke mbona utadataa !!!
KUWA MAKINI !!
 
kumterminate mtu kwa sbb ya wivu wa mkeo si jambo jema ajira ngumu jamani sasa hivi.ongea na mkeo vzr kama haelewi iko cku ataelewa tu na huna haja ya kufanya kweli na huyo dada ila kua nae mbali kama kushare muwe mnashare mambo ya kazi tu c mengine.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom