Niko njia panda,naombeni ushauri

Mapenzi ya WhatsApp shida sana, mkuu hamnaga kitu kama hiyo, huyo unayema ni mpenzi wako kaona unamsumbua wakati ana mtu wake anataka ajinafasi naye.



December ni mbali sana.. Endelea kusugua benchi huku kidume mwenzako akiendelea kula Zigo!!



This world is not fear at all....
 
Pole mkuu inawezekana ana mtu anataka atangaze tender ya kumpiga chini ili aku-procure ww, kwhiyo uwe makini na hili
 
Mambo ya ngoswe Muachie mwenyewe ..........
 
Wajinga ndio waliwao!
Yani unampenda mtu hadi ana kudanganya namna hiyo? Huu uongo hata mtoto hawezi kuupokea...Teh Teh.
 
Duh! Sina uhakika na hoja yake dhaifu kama ina lengo zuri juu ya mapenzi yenu, hainiingii akilini hapo jiongeze na ww kaka...***mu-block nambazenu kwa miezi mitano???***
 
kosa ni lako wewe mwenyewe si ulimkubalia. sasa ukija hapa kutushirikisha makosa yako unatupotezea muda tu
 
Mkuu fikiri kwa kutumia kichwa na sio moyo.
Yaani mpenzi kataka kitu fulani bila hata ya kukupa sababu za msingi wewe umeshakubali , mambo hayaendi hivyo mkuu .kuwa makini sana kama unataka kuingia kwenye sekta hiyo. Hapo hamna mpenzi wala mke.
 
Nakushauri tafuta numba nyingine na umpigie na mwambie ukweli kuwa huwezi kukaa bila mawasiliano kwa muda wote.Kama anaona unamsumbua kwa kuwasiliana basi hainahaja ya kuendelea na mahusiano na kila mtu aendelee na mipango yake ya maisha.
 
Analiwa ndogo na mafuta ya mawese huko.Wanaume wa Dar hatuna huo ujinga.
 
upo njia panda ya wapi mkuu himo au nikuelekeze
 
Unataka ushauri wa nni apo?au unataka ushauri gani apo?hautakiwi acha kulazimisha mapenzi?unakuwa kama wanaume wa daresalamu!!!!!?tafuta girl mwingine.....!akufuzae hakuambii nenda..vitendo tosha.
 
huna chako, anayekupenda anakuwaza kila baada ya masaa mawili, leo anakublock na wewe unasema ndiyo????????
Hebu fanya kusepa
 
Hiyo Njia panda kweli aisee yaani ni hivi nikusaidie kufikiri huyo mchuchu anafanya zoezi la kukufuta akilini mwake so akiweza ndio ana kutosa jumlaaa so jipange kutemwa.
 
Kaua tembo kwa ubua. huenda alitafuta namna ya kukupoteza kidiplomasia na amekupata. september mbali na wewe tafuta plan B km ikiwa mbaya uwe umejiandaa mana si kawaida.
 

Seriously ? This is my first time to hear this .. Its weird very weird .. Dear make time one of the weekend and go visit her without telling her that you will go there .. Go find yourself what made her to say that .. But be ready kwa kukutana na lolote .. That means dont expect too good positive outcome .. It will crush you .. Thanks..
 
Pole sana kiongozi hakunaga mapenzi yakiivyo , nina hisi umepigwa kibuti.
 
Katavi Wameshakata Na Kufunua, Ndugu. We Tafuta Mwingine Huko Kagera. Ikifika Miezi 5 Kama Unae Endelea Nae. Kama Hujapata Wa Kukufaa Pengine Waweza Kucheki Tena Na Katavi
 
Mkuu asante kwa maoni yako, najifunza kitu katika maneno mazito uliyoongea hapo juu. ASANTE.
 
Katavi Wameshakata Na Kufunua, Ndugu. We Tafuta Mwingine Huko Kagera. Ikifika Miezi 5 Kama Unae Endelea Nae. Kama Hujapata Wa Kukufaa Pengine Waweza Kucheki Tena Na Katavi

Asante kiongozi kwa ushauri wako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…