Niko Njia Panda, Naomba ushauri wa bure

Niko Njia Panda, Naomba ushauri wa bure

Eeeeh marafiki kwenye uhusiano usiwakaribishe wabaya sana eti. Mi yametokea juzi tu
 
Nimewaelewa vizuri sana.
Ni kweli sikutumia taratibu za lugha, lakin lengo mnielewe, na msipoelewa, mtu aseme sijaelewa, kunishauri nisichotaka ushauri hamnitendei haki, kwa nini usitoe ushauri wako na mwishoni ukaniambia "rekebisha mwandiko wako"
Generally, thank you all for your advice.
 
Habari wana JF!
Plz follow this scenario & then give me ur advice.
Mnamo mwezi wa 10 - 2011, nikiwa masomoni, nilimuona bint 1 na nikaanza kumpenda. Mwezi wa 4 - 2012 nikamuaproach, alinikubalia mwezi wa 10 - 2012, lakin baada ya miez 3 hali ikachange, due to ze fact that aliambiwa mm ni kicheche na, rafiki yangu, huyo rafiki nilijuana nae mtaani tu, ukweli ni kwamba rafiki anamtaka huyo mrembo, mwanzo nilifanya mapenz ya siri bila rafiki kujua, ilifikia rafiki ananiomba nimpe maujanja ili ampate huyo mrembo, dah! It was hard task 2 me, just nilimzugazuga tu. Mh! Mwisho wa maji matope! jamaa si akas2kizia, akaanza kulikoroga, akakorogaaaa hadi yule mrembo akaanza kunicomment, mwisho wa siku akanitel tuachane, sikukubali kirahis but ningefanya nini. Nilijipa moyo nitapata mwengine na kweli nilipata but sikua na amani, nilimuazia yy tu, nikaona isiwe tatizo nika'add' mwengine, ah wapi! Bado nilimuazia yy. Wale waschana wawil tukaachana, nikaamua kumuask 2rudiane, lkn alikataa, nikimuuliza umepata mwengine anasema hapana hayuko tayari kwa mapenz hadi amalize kusoma, nikimuuliza nimsubirie anakataa, sometimes ananiuliza ni nani ameshika nafas baada ya kuondoka yeye. Ukweli ni kwamba nampenda xana xana xana. Sometimes ananiambia namdistab, anadai pia mm sì mwelewa.
Naomba Mawa30 wanaJF!
Kifupi ni kuwa rafiki yako ndiye anayekula mzigo baada ya wewe kuachwa na huyo mwanamke hayupo tayari kurudiana na wewe maana amekwishachanganya madawa kwenu nyie marafiki.
Hivi inakuaje unashindwa kumwambia rafiki yako kuwa una uhusiano na mwanamke fulani?Au huyo rafiki yako mlikuwa na uhusiano wa kimapenzi mpaka upate shida kumwambia kuwa unatoka na mwanamke fulani?Kwa hili umenishangaza sana.
 
pole sana, wewe kweli si mwelewa kama anavyokuambia!! unadhani mapenzi ya kweli yanaisha kirahisi hivyo? bado wote mnapendana sema wewe unakuwa unamsikiliza maneno yake ya mdomoni bila kujua ya moyoni!! ha kikisha kama bado hana men mwingine jirudi na kuwa mpole kwake jishushe atakuelewa na mtarudiana but make sure unakuwa makini sana uwapo katika uhusiano haswa kwa wanawake walio serious
 
Back
Top Bottom