estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Nafanya kazi sehemu flani, nilikutana na huyu kaka kazini ni mtu anayenijali alishawahi kunisaidia kama pesa n.k hakuwahi kunitamkia kama ananipenda ila kuna vimaswali huwa ananiuliza kama hivi, (miaka ndo inaenda hivyo) hili swali bado sijaelewa huwa kamaanisha nini tulishawahi kupanga tutoke out lakini ilishindikana baada ya miaka kwenda ikanibidi nimtoe mimi siku io ilikuwa siku nzuri alifurahia sana na akuamini kama ni mimi ningekuwa na ujasiri huo...... mpaka leo ajawahi kuniambia chochote ila dalili za kunipenda kama zipo hivi ila ninachompendea huyu kaka ni ananijali sana pindi ninapokuwa na shida na kwa upande wa mahusiano alishaniambia kuwa hayuko na mtu yani hata kile anachokifanya kuhusu maendeleo yake ananishirikisha...... hivi je huyu mtu ananipenda au?
kama yuko hapa afunguke
kama yuko hapa afunguke