Annie Josh
Senior Member
- Nov 17, 2010
- 184
- 67
Mmh do you happen to know this mama?unajuaje kama hawana miaka 5 ya mahusiano?na wewe ndo mwizi uliyejibebesha mimba?
Wanawake wengine bana!!Tena mkome tabia ya kusingizia watoto kushikilia uhusiano.
Aksante. Hayajakukuta
Sisubiri kuletewa natafuta Kwa jasho tena kilicho haki.kwani wewe unafanya kaz gan?????kama ni mother house kusubili uletewe ni hatali...pia huyo kiumbe wako hana mapenzi ya dhati na wewe kwani huyo mdada alimlazimisha angonoke nae mpaka akajibebesha mimba...pia alikuwa wap kukwambia tokea mimba ina mwezi mpaka kujifungua....atakuletea na maladhi aseme amepitiwa.....changamka dada dunia imevaa condom mapenz ya kwel hayapo...
Mambo haya hutokea. Thanks for alert!duh...imeahakula kwako hapo.
Lol. AksanteeeTatizo huwa mnajibebesha mimba ili kuwashika vijana, haya na mwenzio kafanya hivyo na imekuwa NGOMA DROO! Inatakiwa muanze upya sasa kwani na huyo mwingine kaambiwa we ulimlewesha ukajibebesha mimba lakini hakupendi! Watoto wasiolelewa na biological father mnawatafuta wenyewe!
Thanks for letting me know that true luv does exist.kwani wewe unafanya kaz gan?????
kama ni mother house kusubili uletewe ni hatali...pia huyo kiumbe wako hana mapenzi ya dhati na wewe kwani huyo mdada alimlazimisha angonoke nae mpaka akajibebesha mimba...pia alikuwa wap kukwambia tokea mimba ina mwezi mpaka kujifungua....atakuletea na maladhi aseme amepitiwa.....changamka dada dunia imevaa condom mapenz ya kwel hayapo...