Niko katika wakati mgumu kuliko wakati wowote wa maisha yangu

Wewe na sympathizers wako ni viumbe mnaopatikana tu kwenye shithole countries kama Tanzania,umejiaminisha ujinga na unautumia kudanganya watu,endelea kuwa Matonya utaona mwisho wako.Kusikia nasoma umejitengenezea stupid arguments na kuzihalalisha.I am sure wewe ni liability na ni item of no commercial value.I have nothing to regret .A small mind kama yako itabaki kama ilivyo.Huwezi kuwa graduate tena wa LLB ukabaki kulia Lia na kuombaomba vijisenti mitandaoni.If you ,a graduate can end up a begger,how about those who did not have a chance to school? Kuna mtu anayeweza kuwa na wivu na inzi? Wewe ni kama nzi tuu.Kwa taarifa yako nimegraduate 8 years ago and I have my life already.Pambana na hali yako you sturbon fly,do not follow a corpse to the grave.
Mkuu unajisikiaje, Nzi kawa Wakili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh 🙄 pole sana,bahati mbaya leo naliona bandiko lako.

Any updates
 
Kwa kuzaliwa kwako mtaroni sishangai una tabia za namna hiyo ,mnduku wako ulianza kufukuliwa toka darasa la tatu B utanambia nini kitundunoko wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unakiaibisha chama chako, umeweka bendera ya chadema kwenye background ya avatar yako halafu unaandika upumbavu kiasi hiki!

Utahalalishia wanaoitukana CHADEMA kuwa ni chama cha wahuni ionekane ni kweli.
 
Wewe unakiaibisha chama chako, umeweka bendera ya chadema kwenye background ya avatar yako halafu unaandika upumbavu kiasi hiki!

Utahalalishia wanaoitukana CHADEMA kuwa ni chama cha wahuni ionekane ni kweli.
Usiamini kila unachokiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom