Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 463
Kwavile umemtaja Heaven on Earth ngoja nianze nae atanisaidia utafiti
Chizi Fureshi mamboViongozi, huwa napitapita huku kwa chati lakini siku hizi mbili tatu nimevutiwa sana na MMU. Nitakuwepo kwa muda kabla sijarudi kule kwenye ban. Nafahamiana na baadhi yenu kama Heaven on Earth kitambo na hivyo nawiwa kupeana story na nguri wengine wa MMU. Mko wapi?
Huku utakutana na wanawake wenye frustration na wanaume wenye ukame! Welcome to the Lounge! Fasten your seatbelt and enjoy your ride.