Niko Dilemma

Hii sera yako ya kupenda saaaaaaaaaaaaaaaaana kuolewa na mtu ambae 'unampenda perfectly' huenda ikakugarimu catastrophically!
lol I don't know what you're talking about.

vitu vingine vinaenda na personality, experiences za mtu, lifestyle unayoishi, watu waliokuzunguka, circumstances (eg you're a parent) etc.

kuna watu hawawezi kuwaza beyond ndoa. and some people have just been so unlucky with the love game. nawaelewa woote.

kwangu ni natural tu kuwa kama sikupendi hakuna uwezekano kuwa hata nitatoka na wewe.
 
Hebu utulie na huyo uliye nae, mmeshajuana vizuri na umesema anajitambua, sasa huyo kijana ulishamkataa leo unaenda kujitongozesha unafikiri atakupenda kama huyo uliye nae?? pengine ukute na yeye alikuwa mpitaji tu.
Ana mtu wake usidhani anakusubiri wewe my friend
 
Huwa wanasema kuwa mwanamke hata kama hajapenda anaweza kujifunza kupenda, but you are so unique in such a way that natamani saaaaaaaaaaaaaana kupata mirejesho kwenye love game zako ili angalao nijifunze and if possible niandike vitabu!
 
Kuna theory moja ya kiroho, kuna uwezekano kuna wanaume aina fulani wanakuvutia lkn ni kwasababu ya mapepo au madhabahu wanazotumikia. Mapepo hasa waume wa kiroho huwa wanakuletea wanaume ambao wanaweza kuwa-oparate mfano wenye tamaa, walevi, wenye mapepo, au kutoka koo zenye madhabahu za miungu fulani n.k ili kukuweka katika mateso kama mwanzo au zaid. sasa huyo mcha Mungu wako mapepo hayawezi kumpenda, hivyo yanakupa mawazo ya kumuona hatoshei au hana hadhi na kuhisi huwezi kumpenda lkn uwezekano ni kwamba ndiyo Mume sahihi kwako.
Hata hivyo maandiko yanasema, "waume wapendeni wake zenu" na kwa "wake waheshimu waume zenu"... jaribu kupata deliverence kwanza, ingia katika toba kwa ajili ya mahusiano yaliyopita
 
Ningependa kumuona huyo anayekupenda na wewe unasema hajakuingia moyoni siku moja anapata demu halafu aanze kupunguza mapenzi kwako ndo utaona effect yake ,from 48 principles of power wanasema use your absence to increase respect and honour
Exactly kila siku lazma nisome 48 laws of power, ataja jutaa Huyo jamaa aki move on
 
Ila we Dada unajitafutia maswahibu ya maisha ,kaah we si ushaumizwa ww? Ss hv ndo muda wako wa kula bata kwa kupendwa sio kila Siku uhangaike ww tu na wanaume, trust me utakae mpenda hakupendi usie mpenda anakupenda hyo ndo principle ya maisha .ss ukifata hisia zko utaja lia hapaa
 
Anahangaika kukimbiza deile utafikiri yeye ndo jogoo!!...... Acha jogoo akukimbize wewe buana!
 
Ni rahisi tu.Olewa na husband material then chepuka na huyo ambaye moyo wako unampenda.
 
dear sio rahic kuishi na mtu unayempenda. Nilipita katika wakati kama wako, lkn ckufanya kosa nilimchagua anayenipenda sasa ni mwaka wa 9 ndoa yangu inaamani na furaha, nimejifunza kumpenda mume wangu na sasa nampenda sana. life is not a rehearsal.
Asante,mwambie.
Pia tamthilia zinadanganya sana wanawake
 
Sijajua umri wako,na hujajua maisha ni nini.
 
Basi umba Wa kwako mama,then muoane
 
Sijajua umri wako,na hujajua maisha ni nini.
na huo uzee wako hujajua tu kuwa maisha sio black and white? ?

ushwahi kutembelea vijiji vingine zaidi ya hicho unachoishi?

sasa ona mwanaume mwenye akili kama zako naanzaje tu kutoka naye!!!
 
Unawezaje kuolewa na mtu usiyempenda?Huoni utamharibia maisha na kumfanya akuchukie.Achana naye mapema.Ataumia lakini baadae ataelewa.

Tafuta unayempenda maana hata akikuudhi utavumilia kwa kuwa unampenda.
Maisha mafupi haya furahi na uwapendao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…