Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Maswala ya kumshirikisha Mungu hayahitaji mzahaa hata kidogo kama ilivyo siku hizi mtu yupo kanisani kwenye maombi huku anawaza atatoka saa ngapi ili akaingie JF na FB!!...... Maswala ya kumshirikisha Mungu yanahitaji mtu awe na imani kali pamoja na misimamo mikali kama akina Sara walivyofanya!To men I do agree .. Men are impossible.. As I have said kwa nilichowahi kukiona before and both those couples still together until now wanaishi kwa amani .. Kinachotakiwa ni msimamo tuu .. Na ndio maana nimemuambia afunge na kuomba kuhusu huyo kaka anayemmpenda huyo dada asikie amani ya Mungu inasemaje moyoni mwake .. Hapa its not about her heart its about God`s plans toward her destiny .. Thanks..
Maswala ya kumshirikisha Mungu hayahitaji mzahaa hata kidogo kama ilivyo siku hizi mtu yupo kanisani kwenye maombi huku anawaza atatoka saa ngapi ili akaingie JF na FB!!...... Maswala ya kumshirikisha Mungu yanahitaji mtu awe na imani kali pamoja na misimamo mikali kama Sara alivyofanya!
........ Love is sweet, i wish i find it! [emoji1] [emoji1] [emoji1]I think nili mention ili swala la msimamo and honest .. So yes , she has to be serious especially now she cant afford to make another mistake again kwenye love affair ... Thanks..
........ Love is sweet, i wish i find it! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
When loveissweet kunakuwa na njia nyingi za kutangaza nia!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]You will find it soon.. Thanks ..
Yap! Good luck... Thanks.When loveissweet kunakuwa na njia nyingi za kutangaza nia!! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapana nimeota tu umevunja ndoa yangu
Hahaha! Natamani hii ungereply kwangu ningelala kutwa nzima ya leo :d :d :d
Sijui niingie kwenye maombi ya nguvu!Yap! Good luck... Thanks.
mimi mwenyewe siwezi kuishi na mtu sijampenda. unless umeolewa naye hata hajawahi kukugusa manake ni Kero sana kushikwa na mtu humpendi. i hope sitofikia hiyo level of desperation ya kujitoa muhanga. hapo ni uoga tu kuwa hutopewa attention na mwingine.Mimi siwezi kuoa au kuishi na mtu(mwanamke) ambae sijampenda, kama ninyi wanawake mnaweza basi hiyo ni miracle gift from the God to you women!!
Basi nitafurahi sana ukinionjeshaOhoooo lakini mpendwa hakuna kinachodumu milele zaidi ya Mungu tu
Sasa huyu dada unamshauri nini? Amkubali huyo jamaa wake wa kwanza ambae dada hampendi ila jamaa ana future nae au amkubali mchepuka(jamaa wa pili) ambae dada anampenda ila jamaa hana future?mimi mwenyewe siwezi kuishi na mtu sijampenda. unless umeolewa naye hata hajawahi kukugusa manake ni Kero sana kushikwa na mtu humpendi. i hope sitofikia hiyo level of desperation ya kujitoa muhanga. hapo ni uoga tu kuwa hutopewa attention na mwingine.
mimi sijui some people are just strange.Sasa huyu dada unamshauri nini? Amkubali huyo jamaa wake wa kwanza ambae dada hampendi ila jamaa ana future nae au amkubali mchepuka(jamaa wa pili) ambae dada anampenda ila jamaa hana future?
Good idea.. Thanks..Sijui niingie kwenye maombi ya nguvu!
Hii sera yako ya kupenda saaaaaaaaaaaaaaaaana kuolewa na mtu ambae 'unampenda perfectly' huenda ikakugarimu catastrophically!mimi sijui some people are just strange.
ishazoeleka kwenye jamii yetu kuolewa kwa kujitoa muhanga ili kupata status kwenye jamii ambayo inaonwa muhimu kuliko furaha ya mtu.
aamue mwenyewe anachotaka maishani mwake.
akiolewa ajitayarishe tu kuishi kwa kuwaza "ingekuwaje nisingeolewa naye?"
Itapendeza saaaaaaaaana kama wote, mimi na wewe tukiingia kwenye haya maombi my dear!Good idea.. Thanks..
Itapendeza saaaaaaaaana kama wote, mimi na wewe tukiingia kwenye haya maombi my dear!