stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Ongea na mshkaji mumuoe wote maana it seems wote wawili anawataka kwa sababu tofauti tofauti.
Mke mwema atoka kwa baba...hakuna amjuaye ila baba peke yake.
Ningekuwa mimi ningefuata moyo wangu as long as I love the lady I've no fear. Kama atatulia na wewe atatulia tu kama hawezi kutulia akaendelea na jamaa ataendelea tu. Kwanza si ulijua yupo na mshikadau mwingine for the all period? You prayed for rain why are you afraid of storm? Komaa
Oa tu ili uendelea kutafuniwa, kama ambavyo umekuwa ukimtafunia jamaa!
Hahahahahaaa,,,,
We Jamaa Demu wa kuiba huku unamjua Jamaa 'ake hafai kuoa,
Nakushauri achana naye au endelea tu kula mzigo huku unasaka demu wa kuoa.
Tofauti na hapo basi jiandae na maumivu ya moyo pale atakapokuwa anaendelea kuliwa mzigo na Msela.
!
!
haya.....
kwa maelezo yako huyo binti ndio star wa movie nzima hapo na wewe na huyo jamaa wa nje ni macosterling tu! kimsingi na kifupi tu ni kwamba you both are playing at her rules na ndio maana mpaka leo huyo jamaa yake hajajua. Na wewe kujua kuwa ana mtu sio kwamba wewe ni mjanja sana au anakupenda sana, la hasha ila ni muhimu wewe kujua ili mambo yawe kama yalivyo leo. Kifupi amekutumia kwa kipindi chote hicho, na alikuwa anapata mazuri toka huku na huku. Wewe kwa uboya wako kwa kujua kuwa ana mtu ukawa very royal to her na usikute na wewe ulikuwa unatupia msaada vilevile.
Kumuoa au kutokumuoa inategemea na mambo mengi ambayo nadhani hapa hujayaweka wazi
Kumbuka mtalaka hatongozwi na kama jamaa kamfanyia mambo makubwa ataendelea kula mzigo kama kawaida.Inawezekana lakini sema nashkuru maana tahadhari kabla ya hatari. Japo alishasema nikimuoa hatokuwa na mahusiano nae.
Tengeneza gogoro, waachane kwanza ndo muendelee na mipango yanu ya kuoana. Otherwise, tulia itokee yenyewe siyo kwa kulazimisha huenda jamaa naye hana mpango wa kumuona mtu asiyekuwa dini moja naye.
Kumbuka mtalaka hatongozwi na kama jamaa kamfanyia mambo makubwa ataendelea kula mzigo kama kawaida.
Kitu ya namna hii ilinitokea kwa x wangu. Mimi ndio nilikuwa nammiliki kabla. Jamaa aliyemuoa alichofanya alitafuta namba yangu ya simu na akanieleza kila kitu jinsi binti anavyotuchanganya na yeye anataka kumuoa. Nilipofuatilia na kumuuliza binti mwenyewe akakiri. Yule jamaa akawa amesolve tatizo lake namna hiyo, na baada ya miezi 6 tangu tuachane wakaoana. Ushauri wangu msome jamaa kama hatembei na cha moto na ni muelewa muelezeni ukweli.